TAMISEMI wametangaza ajira za afya leo kupitia Sekretarieti ya Ajira, sasa ni mwendo wa Interview

Hawajatoa majina,ila mwanzoni wakati wanatuma maombi hiyo sehemu ya my applications EMPLOYER alikuwa anasomeka MDAs&LGAs......lakini tangu jana employer kabadilka kawa mkoa husika ,mfano EMPLOYER:mkoa wa kigoma.
Duh sasa kama umeomba masomo mawili na waajiri n mikoa miwili tofauti hapo itakuaje?
 
Hawajatoa majina,ila mwanzoni wakati wanatuma maombi hiyo sehemu ya my applications EMPLOYER alikuwa anasomeka MDAs&LGAs......lakini tangu jana employer kabadilka kawa mkoa husika ,mfano EMPLOYER:mkoa wa kigoma.
Hii change ni kwa applicants wote au itakuwa the selected few?
 
Nahis hujanielewa issue sio kuomba Bali Kuna umuhimu Gani kuwapeleka watu sehemu walizoombea kufanya kazi kwenda kufanya interview tu Kisha kuwarudisha nyumbn wasubiri matokeo? Kwann wasimalize hapo hapo walipofanyia mitihani wa kuandika?
Soma tangazo vizuri! Usaili utafanya unapoishi kwa sasa! Kama uliandika upo dodoma utafanyia dodoma! They considered you are currently address
 
Attachments

  • IMG_2878.jpeg
    IMG_2878.jpeg
    1 MB · Views: 2
Hawajatoa majina,ila mwanzoni wakati wanatuma maombi hiyo sehemu ya my applications EMPLOYER alikuwa anasomeka MDAs&LGAs......lakini tangu jana employer kabadilka kawa mkoa husika ,mfano EMPLOYER:mkoa wa kigoma.
Aisee ni hatari sana
Wametubadilishia gia hewani
 
Back
Top Bottom