Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

Hypershulemia

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
275
Reaction score
841
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi June.
 
Kidato Cha tano watatakiwa kuripoti shuleni tarehe 15/6/2022 Ila majina Bado hayajatoka tuwe na subira kidogo
 
Hili jambo tulikua tunajadili hapa na wife, tulicho kiamua ni tununue mashati meupe 2 pairs each, viatu vyeusi 2 pairs each, tranka 1 box each, counter books qure four 10 pcs each, school bags 1 each, sox nyeupe 5 pairs each, sox nueusi 3 pairs each, calculator 1 each na mengineyo.
Sasa tunasubiri selections zikitoka maana yake tuna nunua skirts kwa binti na trousers kwa kijana accordingly....
 
Nunua vyote ila mashati subiri maaan unaweza nunua ya mikono mifupi afi kumbe wanavaaa ya mikono mirefu😅😅😅
 
Back
Top Bottom