uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Subiri kwanza shule binafsi zipate wateja,wakitosha tutatoaHusika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi june....
alisikika mtu mmoja akisema "mtanikumbuka ,si kwa mabaya ila kwa mazuri"