Tamisemi watatoa lini majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2022/2023?

Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nataka kujua ni lini watatoa hizo selection, maana nimesikia watoto wanaanza masomo mwezi june....
Subiri kwanza shule binafsi zipate wateja,wakitosha tutatoa
alisikika mtu mmoja akisema "mtanikumbuka ,si kwa mabaya ila kwa mazuri"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…