TAMISEMI waziri labda Ummy Mwalimu

TAMISEMI waziri labda Ummy Mwalimu

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri.

Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako?

Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na rushwa
 
Kwahiyo kigezo ni jinsia sio uwezo??
 
Tutachukua muda sana kutoka hapa tulipo.

Mtu aliyefeli wizara ya afya MSD na NHIF kumejaa uozo halafu useme apelekwe TAMISEMI?

Ummy labda umsifie kwa kiswahili kingi lakini sio utendaji.
 
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako? Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na rushwa
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
Kwani ummy si alikuwa tamisemi akamtoa.?

Tatizo sio ummy wala tamisemi. Tatizo lipo juu. Kwani si huyu huyu samia ndiye aliyesema nataka nidhamu ya moyoni. Ni huyu aliyesema kuleni kwa urefu wa kamba zenu? Kila sehemu anataka asikike na kuonekana ye mtu mwema.

Ye awape mamlaka hao mawaziri na amrudishe Jaffo tamisemi aone mziki.

Tatizo kila anaye perform anamuona ni threat kwake kwenye urais. Ndio maana kawaficha watendaji.
 
Tutachukua muda sana kutoka hapa tulipo
Mtu aliyefeli wizara ya afya MSD na NHIF kumejaa uozo halafu useme apelekwe TAMISEMI?
Ummy labda umsifie kwa kiswahili kingi lakini sio utendaji.
Kwani hajakuwepo hapo Tamisemi mwaka huo wa hii ripoti ya CAG!
 
TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako? Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na rushwa
Katika watu ambao hawafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji ni Ndalichako.... na inaniuma sana cheti changu cha form four kuwa na sahihi yake
 
Utahira tu... Huyo Ummy kafanya kipi alipokuwa Tamisem?. Ni takataka km takataka zingine tu. Nchi hii Rai tungekuwa sio wafu kifikira hakuna kiongozi wa CCM ambaye anafaa kuwa serikalini!.
 
Katika watu ambao hawafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji ni Ndalichako.... na inaniuma sana cheti changu cha form four kuwa na sahihi yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie namkubali sanaa Ndalichako, hadi leo Naumia kutolewa wizara ya Elimu.
 
Huyo Kiongozi wenu akiona mtu kaimudu wizara ndio anamuamisha sijui Huwa kichwani kwake anawaza nn
 
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
Shemponda ilitakiwe iimbike Shekhe Ponda, Hii Ilikua enzi Sheikh Ponda yupo korokoroni.

Kimbia yake Babuu X Langa Kileo X Mchizi Mox. Bonge moja la nyimbo.

Yaani huo ushauri wako ndio wakushangaza kabisa hao unapendekeza!

Laiti ungejua ni dhaifu kiasi gani usingaandika hayo!
 
Achana kabisa na pro Ndalichako..

Huyu mama anajua....kipindi yupo elimu lile sakata la wanafunzi hewa wa jpm yaani alisimamisha bunge ama kweli huyu ni prof
 
Back
Top Bottom