TAMISEMI yafafanua kasoro za majina ya walimu walioitwa kwenye ajira 13,000 za Magufuli

Hapa ndo tunaiona faida ya mitanndao ya kijamii sana sana JAMIIFORUMS maana wengi wanatoa taarifa huku.
Kiukweri ndugu zangu sijutii kuwepo jf......... Na liide langu feki.
 
Tulipo piga kelele kuhusu walimu waliotumia index za kidato cha nne za mwaka jana(2019),katibu mkuu alijitokeza na kutoa utetezi dhaifu kwamba walikosea kuandika mwaka wa kumaliza kidato cha nne badala yake wakaandika mwaka wa kumaliza chuo na kwamba walimu hao wamemaliza form four kati ya 2010 - 2014.

Kutokana na utetezi huo dhaifu uliotolewa na katibu, leo namleta kwenu DAUDI MWITA WILLIAM.

Tamisemi imemwajiri mwalimu huyo kwa kutumia index namba ya kidato cha nne S0846-0089/2010 ambayo sio yake.

Katika uchunguzi mdogo niliofanya nimebaini kuwa DAUD WILLIAM ameajiriwa kwa kutumia namba ya mwanafunzi ZILPA FREDRICK ambaye hakubahatika kuendelea na masomo kutokana na kupata ufaulu hafifu kwenye matokeo yake ya kidato cha nne.

Ushahidi huu hapa

(i) Kiambatanisho kumwonyesha DAUDI WILLIAM mwl aliyeajiriwa na tamisemi

Screenshot_20201202-110346~2.png

(ii) kiambatanisho kumwonyesha ZILPA FREDRICK mmiliki halali mwenye index namba S0846-0089/2010
Screenshot_20201202-105700~2.png

Mbaya zaidi TAMISEMI ambao wana fanya kazi kwa kushirikiana wizara ya elimu ambayo ina mifumo ya kuhakiki uhalali wa vyeti wameshindwa kuhakiki vyeti vya waombaji badala yake wamewaachia wakurugenzi wa halmashauri ambao wana hakiki vyeti kwa macho.

Kwa mwendo huu watumishi hewa hawatokuja kuisha serikalini.
 
Tulipo piga kelele kuhusu walimu waliotumia index za kidato cha nne za mwaka jana(2019),katibu mkuu alijitokeza na kutoa utetezi dhaifu kwamba walikosea kuandika mwaka wa kumaliza kidato cha nne badala yake wakaandika mwaka wa kumaliza chuo na kwamba walimu hao wamemaliza form four kati ya 2010 - 2014.

Kutokana na utetezi huo dhaifu uliotolewa na katibu, leo namleta kwenu DAUDI MWITA WILLIAM.

Tamisemi imemwajiri mwalimu huyo kwa kutumia index namba ya kidato cha nne S0846-0089/2010 ambayo sio yake.

Katika uchunguzi mdogo niliofanya nimebaini kuwa DAUD WILLIAM ameajiriwa kwa kutumia namba ya mwanafunzi ZILPA FREDRICK ambaye hakubahatika kuendelea na masomo kutokana na kupata ufaulu hafifu kwenye matokeo yake ya kidato cha nne.

Ushahidi huu hapa
(i) kiambatanisho kumwonyesha DAUDI WILLIAM mwl aliyeajiriwa na tamisemi
View attachment 1639959
(ii) kiambatanisho kumwonyesha ZILPA FREDRICK mmiliki halali mwenye index namba S0846-0089/2010
View attachment 1639968

Watarudi tena kwenye media kusema tumerekebisha kasoro
 
Hawa TAMISEMI watajitetea tena. Ila ni aibu. Inawezekana hizi ajira wamepeana kwa kujuana.
 
Tulipo piga kelele kuhusu walimu waliotumia index za kidato cha nne za mwaka jana(2019),katibu mkuu alijitokeza na kutoa utetezi dhaifu kwamba walikosea kuandika mwaka wa kumaliza kidato cha nne badala yake wakaandika mwaka wa kumaliza chuo na kwamba walimu hao wamemaliza form four kati ya 2010 - 2014.

Kutokana na utetezi huo dhaifu uliotolewa na katibu, leo namleta kwenu DAUDI MWITA WILLIAM.

Tamisemi imemwajiri mwalimu huyo kwa kutumia index namba ya kidato cha nne S0846-0089/2010 ambayo sio yake.

Katika uchunguzi mdogo niliofanya nimebaini kuwa DAUD WILLIAM ameajiriwa kwa kutumia namba ya mwanafunzi ZILPA FREDRICK ambaye hakubahatika kuendelea na masomo kutokana na kupata ufaulu hafifu kwenye matokeo yake ya kidato cha nne.

Ushahidi huu hapa
(i) kiambatanisho kumwonyesha DAUDI WILLIAM mwl aliyeajiriwa na tamisemi
View attachment 1639959
(ii) kiambatanisho kumwonyesha ZILPA FREDRICK mmiliki halali mwenye index namba S0846-0089/2010
View attachment 1639968

Mbaya zaidi TAMISEMI ambao wana fanya kazi kwa kushirikiana wizara ya elimu ambayo ina mifumo ya kuhakiki uhalali wa vyeti wameshindwa kuhakiki vyeti vya waombaji badala yake wamewaachia wakurugenzi wa halmashauri ambao wana hakiki vyeti kwa macho.

Kwa mwendo huu watumishi hewa hawatokuja kuisha serikalini.
Kama ni UVCCM serikali ya awamu ya tano itakuwa imemwajiri kwa makusudi ili aendelee kuzalisha wapumbavu wengine wa kuipa kura CCM
 
Inawezekana makatibu wa kata wa ccm ndio walipeleka majina wa uvccm,tamisemi kazi yao ikawa kutengeneza index namba tu.
 
Vyanzo vyakuibua mambo hayo vilishazibwa midomo zamani sasa, bora kuwa na mbinu mandala.
 
Back
Top Bottom