TAMISEMI yafafanua taarifa ya kununua pikipiki 68 kwa Tsh milioni 789

Itakuwa pikipiki za yundahi yokahama au !

tanzania hii .ccm tukiisema humu jf uzi unafutwa .yani jf ccm mnakazi
 
Hivi huko serikalini watu ndio mmekuwa vilaza namna hiyo? Kwanini press inaandikwa kiujanja ujanja(kuficha fuchs)? Ningekuwa mimi ningesema aina ya pikipiki na zimenunuliwa wapi na makubaliano zisambazwe by lini, gharama inahusisha hadi usambazaji na zilizosambazwa zimesambazwa maeneo gani na je hicho kiasi chore kimelipwa full au? Yaani pikipiki 268 nazo za kusambaza kwa awamu?? Au ndio kusema mlienda china kutoa oda? Dah Afrika!! Will never reach anymore.

Mbona Bashe kagawa pikipiki 6000+ siku moja au? Why press iache maswali mengi badala ya kuwa toshelevu?
 
Ununuzi wa serikali una mambo mengi, huenda hizo gharama ni pamoja na za mawakala wa kati 'middle men' kwenye kufanikisha hiyo tenda.
 
Walichovya wakasikilizia, waaa!
 
So hapo pikipiki zinakuwa zimenunuliwa kwa 2.9M
 
CAG ni vilaza na boss wao hovyo tu, Wana force kuandika wanayoona yatafurahisha wasomaji, hawana tofauti na gazeti la UWAZI au magazeti ya MUSIBA. mbwembwe sana
 
Hii mijitu mijizi isiyo na aibu.
Yaani pikipiki 260 uuziwe kwa bei kubwa kwa kila moja kuliko anayenunua moja kwa rejareja huku ukinunua kuanzia 10 tu unauziwa kwa bei ya jumla
Urefu wa kamba ndio unazingatiwa
 
Anasema piki² 1 kununuliwa kwa tsh.11m sio sahihi.
.
Ila Hasemi kwamba hizo piki² 68 zilizosambazwa kwa awamu ya kwanza zilinunuliwa kwa kiasi Gani.
.
Acha wale asali bila mipaka ya urefu wa Kamba Yao.

Acha walambe asali jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…