Hivi Taifa stars na the crane wamefungana ngapi vile au hili sio jukwaa lake
Tushachoka na habari za mapinduzi na kupinduana
Baba V hebu tafakari ujiukize kwa nini haya yanatokea
Hivi Taifa stars na the crane wamefungana ngapi vile au hili sio jukwaa lake
Tushachoka na habari za mapinduzi na kupinduana
Baba V hebu tafakari ujiukize kwa nini haya yanatokea
Tena shosti wako anakutia ujinga umwendee my son kwa kalumanzila ukienda tu ujue ndoa imekufa. Smile asikutie hasira yeye ni kidumu kama Ladydoctor alivyo kidumu kwa Arushaone.
Hiyo nafasi umpe nani. !??
Wametunyong'onyesha tena mkuu...tumelala moja bila hata hamu sina
Bado nina maradhi yalisababishwa na talaka uliyonipa.
Unajua mkuu Rocky hapa CC ndo maana hunioni, tunakutana kule kwenye ishu zetu, hapa watu wanakuja na majina mara honey mara shosti baada ya muda wanakuja na manaeno mara muone mara mbea, mara mkodobwe... ndo maaana nashindwa kuwaelewa hawa vijana...! Mbona Arachuga shega tu watu wanaonana kila siku wanakula mayiZanta haya ndio ta kuongea bana sio hizi habari zao za mapinduzi sijui kupinduana hivi ndo msamiati mpya humu chit chat eeeeh
Bado una nafasi ya kutafakari kauli zako...
hebu tumpe nafasi ya mwisho, huku tukimsomea ramani angani
Unajua mkuu Rocky hapa CC ndo maana hunioni, tunakutana kule kwenye ishu zetu, hapa watu wanakuja na majina mara honey mara shosti baada ya muda wanakuja na manaeno mara muone mara mbea, mara mkodobwe... ndo maaana nashindwa kuwaelewa hawa vijana...! Mbona Arachuga shega tu watu wanaonana kila siku wanakula mayi
si ndo hapo mbona mkuu, utachoka mwenyewe, wakishanyang'anyana mabwana basi chuki inaanzia hapoZanta hilo ndo tatizo la hawa watu wa CC
Wakishaanza kuitana honey mara sweet zikibuma wanaanza kutukanana na kupeana talaka
Umea mwingi na mambo yao haya yanachosha bana wacha tuwe watazamaji tuu mkuu
Mamndenyi hebu kamu zis wei uniambie nini kikusikitishacho na kikukondeshajo hawa washanichosha na habari zao za mapinduzi
Watu wakishajichokea wanamapindyzi walikuwa Castro na yale ya Urusi sio haya bana
sosoliso ndo maana nikamwambia Baba V ajiangalie alikojikwaa maana mapinduzi yanaanza watu wanapochoka
Lady doctor mwambie Arushaone ndyofu zangu ninazomdai ziko wapi na asilewe sana akashindwa kupiga kura kesho
Tena shosti wako anakutia ujinga umwendee my son kwa kalumanzila ukienda tu ujue ndoa imekufa. Smile asikutie hasira yeye ni kidumu kama Ladydoctor alivyo kidumu kwa Arushaone.