Huyu baba v kazi imemshinda na amelewa madaraka, eti anasema yeye mwenyekiti wa maisha. Naunga mkono mapinduzi
hayapo tena hayo mapinduzi sasa hivi tuna chit chat tu....waliojaribu wamekimbia hawakuwa na hoja mujarab...
Lady doctor karibu,
Arabela nakuona apo unachungulie njoo nikusabahi,,
baba mwenyekiti risasi zako wewe ni serengeti baridiiiiiiiiii au safari lager ya moto
hahahahahaha wameshakubali kujisalimisha na wapo tayari kuijenga nchi yetu ya cc.
Learned brother hivi ni mazungumzo gani unayotegemea kutoka kwa Baba V? Sisi tunataka awajibike!bila shaka mambo yameanza kuwa safi na natoa wito kwa kikosi cha waasi kilicho msituni kujisalimisha na kurudi kwenye meza ya mazungumzo hili kujenga nchi yetu ya cc.
cc kamanda Nivea, Mrembo by Nature, mwaJ , Madame B na waasi wengine.
Nampendekeza waume zangu Ben Saanane na Remote wawe vyenyekiti.
Ha ha ha ah aaaaaaa! What happened to your trousers? Isijekuwa umejijojolea kwa woga wa kupinduliwa. Duh! Madaraka matamu!Hata wewe..!?? can't believe my trousers...!! kha..!
viva madame b viva hasa Remote atafwaa sana ila huyu Ben Saanane atachukua hela zetu apeleke arusha kwenye udiwani kesho hapana hapana kabisa
Hapa kuna nn tena?
Learned brother hivi ni mazungumzo gani unayotegemea kutoka kwa Baba V? Sisi tunataka awajibike!
sijui akirudi uso wako utauweka wapi! Omba asirudi!