Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
shem usijali amani inaanza kurudi na kuhakikishia mambo yatakwenda sawa.
hivi shem Lady doctor mumeo Arushaone yupo? au nawewe umekimbiwa kama Paloma?
Hahahaaa sosoliso yupo bizee anaburudika na mechi inayoendelea! Wewe pangu pakavu una nini?
Last edited by a moderator: