Namshanga huyo Baba V............chama kimejaa ndugu na washkaji ake tuuuuuuuuuu.
TUMECHOKAAAAAAAAAAAA............😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:
...................akubali kujiuzulu pasipo kumwaga damu.
Watu tunna hasira na chama.
Tumtimue kwa nguvu zote............mie nanunua kesi UNDENIABLE.
una bia zangu 3 weekend hii hakianani umensaidia sana mapinduzi yanaletwa na watu kama nyie .
bandiko alione Baba V
Siwezi kuliacha jukwaa mikononi mwa waharibifu wachache... kilishapita kimbunga sembuse hiki kijiupepo..!??
Mkuu Mwita Maranya naunga mkono hoja,. In fact namtafuta mmasaia anitafsirie ile makitu. Msiri wangu mwaJ yuko wapi?
at last utaaibika kama GADAFFISiwezi kuliacha jukwaa mikononi mwa waharibifu wachache... kilishapita kimbunga sembuse hiki kijiupepo..!??
upupupu ,Tunao na tindikali hapa tayari mwambie huyo Baba V aende pale ofisini kwake kama kweli yeye mugabemkuu kaizer msiri wako mwaj yupo amejaa tele siunajua leo weekend bana tunakumbatiana hadi saa sita mchana! Ametulia tu hapa anakusoma kama utaweza kumnusuru swahiba baba v na haka kasunami ka nivea & co.!
Mimi nimetumia google translator lakini bado sijaelewa kikamilifu ukimpata mmasai wa ukweli unipigie pasi ndefu huku kwenye kibendera!