Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
mkuu hawa wana CC "masalia" unawafanyaje? wapigwe marufuku kuingia cc kwa mwezi bila appeal. wakiongozwa na Nivea na UNDENIABLE maana naona ndo wameshupaliaaaaa

Japo waswahili wanasema mtoto akinyea mkono haukatwi lakini kwa sasa nahisi nitaanza kukata ili heshima ichukue mkondo wake..
 
Last edited by a moderator:

Heshima lazma iwepo, manoah alijaribu kukuchezea sharubu, sasa naona na Nivea naye, hasa ukichukulia hali halisi upepo jana hapa haukuwa mzuri kabisa, kifupi bahari ilichafuka sana ..sasa hao masalia lazima uanachama wao usitishwe kwanza, ikibidi wapigwe "fatwa" kabisa....wasichezee sharubu za Mkiti mtukuka

habari hii imfikie Mzee

kwa majonzi nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
^^
Baba V
Acha kuficha kichwa kwenye mchanga wakati kiwiliwili kiko nje,,
Ungefanya vema kama thread hii ungejibu hoja za Nivea na gfsonwin na sio kutoa vitisho na kujificha nyuma ya cheo.
Naam migogoro ipo,,how far umefanya kuitatua na kama uko kimya Why uko kimya,,huo ndio uongozi.
Lakini unapokuja na vitisho,makaripio bila hoja haisaidii bali una ahirisha tatizo.
I trust in your wisdom ni wakati wako kuweka mambo sawa
cc Mzee Nivea Ruttashobolwa Mrembo by Nature UNDENIABLE
ALUTA CONTINUA
^^
 
Last edited by a moderator:
wana chit chat habari... Nakuja kwa mwendo wa shoto-kulia (waliopitia jeshini enzi zetu wamenielewa hapo) kijeshi zaidi. Kwanza kabisa nimshukuru mwanasheria wangu ruttashoborwa aliyeniletea barua ya kiofisi kuwa kuna kijiupepo kinavuma chit chat eti mwenyekiti nipinduliwe. Pia nawashukuru watendaji wangu wote katika ofisi yangu kwa kuonyesha msimamo thabiti na kutotetereka baada ya kusikia kelele za kile kinachoitwa mapinduzi, hii inadhihirisha jinsi walivyo makini na wanajiamini na kazi yao. Baada ya kupata taarifa hii nilikaa kimya kwanza ili niweze kusoma mawazo ya wanajamvi na uelewa wao juu ya nafasi yangu na msimamo wa kila mmoja katika jambo hili. Niliweza kubaini yafuatayo
i. Mwanzisha mada ameamua kuwachanganya watu kwani ametangaza mapinduzi ya kunivua uenyekiti ilhali hajui hata taasisi ya uenyekiti ikoje. Matokeo yake kuna watu wameingia kwenye mtego wake pasi na kujua na muda si mrefu wataumbuka kama hawatajirudi.
Ii. Wengi waliounga mkono mapinduzi haya hawajitambui na wengi ni bendera fuata upepo, ndo wale wakiahidiwa mabomba kutoa asali au kujengewa daraja toka posta hadi kariakoo wanashangilia pasipo kutafakari... Wataishia pabaya.
Iii.wenye busara zao wametulia kwani wanaijua chit chat na taasisi ya uenyekiti na ndio maana wametulia and at some points wametoa ushauri kwa wakurupukaji.

Tamko.
Kwa kuwa umma wa chit chat una imani na utendaji wa taasisi ya uenyekiti nasema mapinduzi aliyotangaza nivea ni batili na aombe radhi kwa wana chit chat kwa usumbufu aliowasababishia.kinyume na hapo nitatoa masharti ambayo endapo atashindwa kutekeleza atajichagulia adhabu yeye mwenyewe.

Onyo
kwa mnaopenda kushabikia mambo bila kuyapima be careful. Mwenyekiti hapinduliwi na wahuni na pick up na baiskeli zao. Tambueni hii sio mara ya kwanza mimi kutangaziwa mapinduzi, wako wapi wapinduaji...!?? Don't dance and me (usicheze na mimi) this is tall water.
Nawashukuru sana wale wote walioonyesha kuwa na imani nami. Tuanzie hapo kwanza....
C.c judgement , watu8, ruttashoborwa gfsonwin , the boss ruhazwe jr , mamndenyi , kipipi , madame b and co. Ltd...

Chit chat mapendo
baba v . The life chairperson of marriages and relationship affairs at chit chat..

Kuna swali..??????...
too late ex-chair!
 
^^
Baba V
Acha kuficha kichwa kwenye mchanga wakati kiwiliwili kiko nje,,
Ungefanya vema kama thread hii ungejibu hoja za Nivea na gfsonwin na sio kutoa vitisho na kujificha nyuma ya cheo.
Naam migogoro ipo,,how far umefanya kuitatua na kama uko kimya Why uko kimya,,huo ndio uongozi.
Lakini unapokuja na vitisho,makaripio bila hoja haisaidii bali una ahirisha tatizo.
I trust in your wisdom ni wakati wako kuweka mambo sawa
cc Mzee Nivea Ruttashobolwa Mrembo by Nature UNDENIABLE
ALUTA CONTINUA
^^

Hana hoja kabisaaaaaaa, mm mke wangu katekwa yupo kimya! file la ndoa yako limepelekwa ofisini kwake yupo kimya! wajumbe wakatangaza kuanzisha red brigade ya CC kwa ajili ya kujilinda, yupo kimya! sasa huyu ni mwenyekiti wa aina gani!
 
Niwekee bayana hizo hoja nizione..
 
Last edited by a moderator:
Hana hoja kabisaaaaaaa, mm mke wangu katekwa yupo kimya! file la ndoa yako limepelekwa ofisini kwake yupo kimya! wajumbe wakatangaza kuanzisha red brigade ya CC kwa ajili ya kujilinda, yupo kimya! sasa huyu ni mwenyekiti wa aina gani!

Keep on spinning....
 
Jibu kwanza hizo chache hapo juu!
Baba V unapenda watoto wa watu waendelee kuzini, kwann umekataa hadi sasa hv kuruhusu file lao???

au ni mwenyekiti mwenye personal interest?!

pumzika kwanza benchi!
 
Last edited by a moderator:
^^
Baba V
Acha kuficha kichwa kwenye mchanga wakati kiwiliwili kiko nje,,
Ungefanya vema kama thread hii ungejibu hoja za Nivea na gfsonwin na sio kutoa vitisho na kujificha nyuma ya cheo.
Naam migogoro ipo,,how far umefanya kuitatua na kama uko kimya Why uko kimya,,huo ndio uongozi.
Lakini unapokuja na vitisho,makaripio bila hoja haisaidii bali una ahirisha tatizo.
I trust in your wisdom ni wakati wako kuweka mambo sawa
cc Mzee Nivea Ruttashobolwa Mrembo by Nature UNDENIABLE
ALUTA CONTINUA
^^

mkuu Himidini umeongea vizuri ila hapo red mbona bado mmeng'anga'nia silaha? wekeni silaha chini kwanza (au sijui maana ya hiyo slogani? ) khaaa
 
Last edited by a moderator:
We mwana we ... halahala ...
na majukumu tumeshagawana kabisaa hatutaki kiongozi legelege unayecheka cheka huna maamuzi ,dhaifu unashindwa kutoa tamko hali kama ya jana iliyosababisha watu kuumia mioyo??unanitisha nimejipanga kama unataka na wewe tuikugadaffi sema tu
 
sasa hv yupo hoi sana baada ya kuona kwamba watu walikuwa serious na mapinduzi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom