Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
I like Baba V
Tumechoka utawala huu, tunataka people's power.........chama kimejaa wazee tu heh mie hapana kabisa.
Hahaha mapinduzi hata kwa ncha ya upanga. Uongozi huu tumeuchoka
Mrembo by Nature tayari uongozi wa mpito upo hewani, na tayari wamekabidhiwa majukumu!
Namshanga huyo Baba V............chama kimejaa ndugu na washkaji ake tuuuuuuuuuu.
TUMECHOKAAAAAAAAAAAA............😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:
Nilitarajia hili toka kwako... nimekuwa kikwazo kikubwa kwako kuhalalalisha uharibifu wako kwa vijana.. ningeshangaa ungetenda kinyume...
Namshanga huyo Baba V............chama kimejaa ndugu na washkaji ake tuuuuuuuuuu.
TUMECHOKAAAAAAAAAAAA............😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:😛ainkiller:
Tunakupa saa 24 ujiuzulu mwenyekiti, la sivyo damu itamwagika.
una bia zangu 3 weekend hii hakianani umensaidia sana mapinduzi yanaletwa na watu kama nyie .............:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:, tumuunguze mwenyekiti,.......hatumtaki Baba V.
Chama kimemshinda.
![]()
Mimi, Nivea, Mrembo by Nature, Kaizer and mwaJ,.........tayari kwa kukupindua.
Mrembo by Nature tayari uongozi wa mpito upo hewani, na tayari wamekabidhiwa majukumu!
Pamoja sana!
TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAA, PEOPLE'SSSSSSSSSSS LAZIMA PAWAKE :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
tayari yupo hoooooooi! amepinduliwa sio kujiuzulu!