Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Jibu kwanza hizo chache hapo juu!
Baba V unapenda watoto wa watu waendelee kuzini, kwann umekataa hadi sasa hv kuruhusu file lao???

au ni mwenyekiti mwenye personal interest?!

pumzika kwanza benchi!

Unajua sharti nililowapa au wewe ndo walewale mnaopenda kusikia unachokitaka tu.!??
 
Last edited by a moderator:
Japo waswahili wanasema mtoto akinyea mkono haukatwi lakini kwa sasa nahisi nitaanza kukata ili heshima ichukue mkondo wake..

Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Himidini umeongea vizuri ila hapo red mbona bado mmeng'anga'nia silaha? wekeni silaha chini kwanza (au sijui maana ya hiyo slogani? ) khaaa
Baba V anavurunda kwenye uongozi halafu anajiita the life chairperson ......... labda ni hasira mkuu, aluta continua
 
Last edited by a moderator:
Niwekee bayana hizo hoja nizione..

^^
1. Nivea amehoji juu ya ndoa za watu humu kujeruhiwa wakati mamlaka kamili unayo-hukujibu hoja..unaleta vitisho
2. gfsonwin ameleta thread jana kulalamikia Cc /MMU lakini umeficha busara zako.
3. figganigga ameleta hoja juu ya matumizi mabaya ya pm,,nilitarajia utasema lolote juu ya hilo lakini unakuja na vitisho
4. Kingkan alisalimu amri juu ya nia ya ndoa yangu na Queen Kan na queen kan akaeleza namna uhusiano wao ulivyoisha,,ktk hili nadhani ni wazi hutaki tupendane
Badala ya kujibu hoja unaleta vitisho.
5. Chit Chat inagawika katika makundi sasa,,ukale na usasa badala ya kuja na suluhu unaleta vitisho na makaripio.
Na mengine ambayo members wanalalamikia.
If at all intelligencia yako inakupa taarifa Je unazichunguza au unaamua kwa upande mmoja.
Hekima ina maana ya kuamua mambo kwa haki,,iko wapi hekima yako ya awali?
Cc Kaizer Nivea
Aluta Continua

Hapa kuna nn tena?

............:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:, tumuunguze mwenyekiti,.......hatumtaki Baba V.
Chama kimemshinda.
1603627-2152583.jpg

Mimi, Nivea, Mrembo by Nature, Kaizer and mwaJ,.........tayari kwa kukupindua.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.

Mkuu unajua hata siku moja mapinduzi ya kihuni hayawezi kukubalika, kuna watu tamaa zimewajaa, wanakuwa kama lile koti lililokimbilia magogoni ilhali halijui linaenda kufanya nini.. hawa bado nawamudu sana ....
 
Last edited by a moderator:
Soldiers-001-med.jpg

TUKITOKA HUKU MBONA UTAJUTAAAAAAAA...........
LAZIMA .........U
52917715326378zombiemainrampehorsdelatombeetaecritrip.jpg
 
Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.

Mkuu Mwita Maranya naunga mkono hoja,. In fact namtafuta mmasaia anitafsirie ile makitu. Msiri wangu mwaJ yuko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Its too late,ameshindwa kuwahudumia wananchi wake na tunatangaza kumtoa ktk nafasi hiyo rasmi.mpaka hapo uchaguzi utakapoitishwa

Mkuu mwenyekiti Baba V kama unahisi usalama wako uko mashakani niambie nishushe red brigade iimarishe ulinzi ofisini kwako pamoja na kukulinda wewe mwenyewe!
Naona kuna watu hapa jamhuri yetu ya cc walihudhuria kikao cha ole medeye jana technical sasa wanatekeleza mazungumzo ya jana.
 
Last edited by a moderator:
............:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:, tumuunguze mwenyekiti,.......hatumtaki Baba V.
Chama kimemshinda.
1603627-2152583.jpg

Mimi, Nivea, Mrembo by Nature, Kaizer and mwaJ,.........tayari kwa kukupindua.

Nilitarajia hili toka kwako... nimekuwa kikwazo kikubwa kwako kuhalalalisha uharibifu wako kwa vijana.. ningeshangaa ungetenda kinyume...
 
Last edited by a moderator:
Its too late,ameshindwa kuwahudumia wananchi wake na tunatangaza kumtoa ktk nafasi hiyo rasmi.mpaka hapo uchaguzi utakapoitishwa

Aaaah...!! my FRIEND huyo... upo!???
 
mwenyekiti kakataa pinduo..anaandaa geshi lake kutimua wapinduaji..anasema yy ni mwenyekiti wa milele..kama mugabe

na kisha anataka wote tuseme amen

Asante kwa taarifa mimisa, hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom