Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
kama ni nguvu ya soda mbona leo hujafika ofisuini kwako?njoo sasa hivui uone uongozi mpya tunavyojikorogea chai,maziwa ,na choklate hahaahahahahahaahahahahahahahahahahahaSio maramoja au mbili watesi wangu wameaibika, napenda ujasiri wako ingawa nahofia isijekuwa nguvu ya soda...
Ndio maana nimesema hawa watu wamekurupuka bila kujua wanapindua nini!? hawajui lolote kuhusu uenyekiti... wamebeba chuki zao binafsi dhidi ya Baba V na wakazipeleka ofisini....
mkuu Himidini umeongea vizuri ila hapo red mbona bado mmeng'anga'nia silaha? wekeni silaha chini kwanza (au sijui maana ya hiyo slogani? ) khaaa
What is your stand....
^^
Kiongozi anatamka rasmi kuwa yeye ni "The life chairperson of marriages" unamwelewa vipi?
Kaizer panapofuka moshi pana moto.
Tuambieni basi kama CC ni hatimiliki yake,,ili tujiengue.
^^
ni mimi mwenyewe kaka yangu niliyeleta mapinduzi nakufanikiwa kumng'oa huyu mwenyekiti aliyeshindwa majukumu yake nakuacha wana cc wakilimbana nakutupiamo maneno machafu yaani jana kulikuwa na fuguvugu ambalo baba v alitakiwa atoe tamko kam mwenyekiti ila wapi vivaaaaaaaaaaaaaa funguka macho kaka yangu funguka macho nyerere aliona mambo haya akakimbia pipoooooooooooooooooooooooooooooooooHuyu ni Nivea ninayemfahamu au photocopy? Au ni original aliyepokea mlungula toka monduli ili atumike kuchafua hali ya hewa!?
Mkuu Kaizer msiri wako mwaJ yupo amejaa tele siunajua leo weekend bana tunakumbatiana hadi saa sita mchana! Ametulia tu hapa anakusoma kama utaweza kumnusuru swahiba Baba V na haka kasunami ka Nivea & co.!
Mimi nimetumia google translator lakini bado sijaelewa kikamilifu ukimpata mmasai wa ukweli unipigie pasi ndefu huku kwenye kibendera!
Mimi nasema hivi, Baba V bado ni mwenyekiti. Mapinduzi ni kinyume kabisa na katiba na ustaarab wa kawaida.
Wanamapinduzi wote hapo wana personal interests tu kwa sababu maslahi yao hayakutimizwa. Wengine wamepindua wake za watu humu, wanamtaka Baba V ahalalishe mahusiano yao, hilo haliwezekani!
Mzee jana aliwapa somo, na mimi leo nawapa tena somo, haraka haraka haina baraka. Mkuu kiwatengu popote ulipo, hebu come zis way kuna vijana hapa naona wanataka kumtia vidole vya machoni mwenyekiti
Na ikumbukwe kwamba Baba V sio mwarobaini wa kila tsunami hapa, nyingien ziko nje ya uwezo wake..kazi yake kuidhinisha tu ndoa....sasa mambo mengine yana watu wake
Nawasilisha, kisha anrudi kitandani
CC Asprin
ni mimi mwenyewe kaka yangu niliyeleta mapinduzi nakufanikiwa kumng'oa huyu mwenyekiti aliyeshindwa majukumu yake nakuacha wana cc wakilimbana nakutupiamo maneno machafu yaani jana kulikuwa na fuguvugu ambalo baba v alitakiwa atoe tamko kam mwenyekiti ila wapi vivaaaaaaaaaaaaaa funguka macho kaka yangu funguka macho nyerere aliona mambo haya akakimbia pipooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mimi nasema hivi, Baba V bado ni mwenyekiti. Mapinduzi ni kinyume kabisa na katiba na ustaarab wa kawaida.
Wanamapinduzi wote hapo wana personal interests tu kwa sababu maslahi yao hayakutimizwa. Wengine wamepindua wake za watu humu, wanamtaka Baba V ahalalishe mahusiano yao, hilo haliwezekani!
Mzee jana aliwapa somo, na mimi leo nawapa tena somo, haraka haraka haina baraka. Mkuu kiwatengu popote ulipo, hebu come zis way kuna vijana hapa naona wanataka kumtia vidole vya machoni mwenyekiti
Na ikumbukwe kwamba Baba V sio mwarobaini wa kila tsunami hapa, nyingien ziko nje ya uwezo wake..kazi yake kuidhinisha tu ndoa....sasa mambo mengine yana watu wake
Nawasilisha, kisha anrudi kitandani
CC Asprin
Siwezi kuliacha jukwaa mikononi mwa waharibifu wachache... kilishapita kimbunga sembuse hiki kijiupepo..!??
What is your stand....