Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Mkuu hasira za Himidini zimetokana na mimi kumwambia Queen Kan anipe uthibitisho unaoonyesha ni lini ameachana na king kan ili niidhinishe ndoa yake na Himidini...

^^
Rejea post yangu utaona King kan alivyosurrender,,fine if that the case hayo mengine je? Pia unakumbuka comment zako juu yangu na queen kan kwenye post ya Ladydoctor juu ya kukaguliwa kwa wanaume?
Jibu hoja zote sio vipande.
Sihitaji uongozi hapa,,hoja yangu Urudie ujasiri wa uongozi wako uliousahau nyuma.
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Nimetoa hoja 5 ambazo kimsingi zipo makundi 2 moja ni Mahusiano ya CC na la pili ni Usasa na Ukale,,hiyo ndoa yangu hata isipotimizwa Maana naona tangu awali Bwana Mkubwa wa CC anakauli juu ya nani ampende nani na nani amkatae nani,,so he is the heaven to decide!
Tuwe wazi Kaizer nyinyi ndio wamiliki wa CC haihitaji ku Major wala ku Minor ili ulijue hili,,nidokeze tu hata sikioni kuwa Cc ni mali ya watu fulani Uone kama utaniona humu.
^^
Heheheheheheeeeiyaaa watu na share zao chit chat. Mtuwache tumewachokaaaaaaaaaaaa
 
^^
Rejea post yangu utaona King kan alivyosurrender,,fine if that the case hayo mengine je? Pia unakumbuka comment zako juu yangu na queen kan kwenye post ya Ladydoctor juu ya kukaguliwa kwa wanaume?
Jibu hoja zote sio vipande.
Sihitaji uongozi hapa,,hoja yangu Urudie ujasiri wa uongozi wako uliousahau nyuma.
^^

Ulitaka nianze kupekua thread moja baada ya nyingine hadi niipate inayohusu kuachana kwa queen na KING !?? btw what comments are you talking about..!??
 
Last edited by a moderator:
baba v they r measuring the depth of the sea by finger = wanapima kina cha bahari kwa kidole.lol .BTW nilisepa CC siku nyingi kidogo,am not aware with its current affairs.kisa ni nini mkuu?!

Mkuu kadoda11 there is a bunch of some power mongers who want to do anything to get themselves somewhere. I'm taking them back to their senses...
 
Last edited by a moderator:
Halafu hao ndio wanajifanya kuwakilisha matakwa ya wana CC wote? haiwezekani..apo ukiangalian kilammtu ana sababu zake binafsi mkuu kiwatengu

huyu Himidini, inasemekana kaiba mke wa mtu afu
anataka kudhibitishiwa kwa nguvu..awe mpole sasa! naona Paloma nae kashafika hapa
 
Last edited by a moderator:
Ulitaka nianze kupekua thread moja baada ya nyingine hadi niipate inayohusu kuachana kwa queen na KING !?? btw what comments are you talking about..!??

^^
Usibadili mwelekeo wa hoja,,uliniuliza hoja zangu,,nikakupa tena hapa hapa! Halafu sasa hivi unageuka kwamba huzioni??
Hivi kweli una hisa JF? Eti
^^
 
Last edited by a moderator:
huyu Himidini, inasemekana kaiba mke wa mtu afu
anataka kudhibitishiwa kwa nguvu..awe mpole sasa! naona Paloma nae kashafika hapa

^^
Mbona hoja za gfsonwin Nivea na malalamiko mengine hamjibu? Kama mke wa ntu mpaka walianzishe hivi ndo mseme?
Ukweli hauna ubaguzi,,uongozi unahitaji kwenda makumbusho.
^^
 
Last edited by a moderator:
Swali muhimu na zuri sana hili. Hayo madaraka aliyapataje? ili leo aseme hang'oki

Hahaha Mrembo by Nature kama hatuna ufahamu wa yeye kupata uenyekiti na huku ameshapata legitimacy hapa inabidi kuestablish illegitimacy yake hapa

So far hakuna hoja ya msingi ya kumtoa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom