Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Habari yakpo mwenyekiti na wadau wengine wote?
Naomba mwongozo.
 
nilicholalamika ni kwamba kwann jukwaa linaruhusiwa kuwa na nyuzi za kuwachafua wenzao??

Kimsingi wana cc mmeharibu jukwaa kwa nyuzi za kuchafua wenzenu.

Wanaochafua ni hao hao wanaojiita wana mapinduzi!
ili kuwekana sawa itapendeza sana kama tutaanza kuongea kwa evidence!!
 
kimsingi cc inabidi kubadilike sana vinginevyo mtawakosa memba. Hili jukwaa ni la majungu tu sasa badala ya jukwaa la kuondoa stress........

Am going for good!

Katika sehemu unapo kosea mwalimu gfsonwin ni kukimbia jukwaa kwaajili ya mtu au ya watu unadhani inaweza ikawa suluhu? Mimi mwenyewe soon nitamuanika hapa mtu na sito kuja kukimbia jukwaa kwaajili ya mtu au kundi la watu yani mtu anaingilia mawasiliano ya mtu na bado anajitamba.
 
Ha ha haaaa
Nilimiss sana chitchat
Kuna raha zake jamanii.
 
Mambo ya cc yamewekwa katika maisha halisi ya members. Na ndio maana mvurugano umeanzia hapo!
Cc tumejiundia mji au niseme nchi ya kufikirika, yenye maisha mazuuuuuri! kuna ndoa ambazo kama Mamndenyi anavyoziita ni za matandao, kuachwa, kuachana kuolewa nk, ni jambo la kawaida humu! Mji ambao tajiri aliyeko kwenye list ya forbes ana sh laki3!

Lakini tukishaingiza uhalisia baaaaas-ndo tunaharibu utamu wa kuchit-chat!

Watu pipo,sie ni watu wazima, tumekosea! Tukubali! Tukubali kujirudi kwa ustaarabu turekebike! Tuanze upya! Kwa amani na kiroho safi! Miongoni mwetu wapo walio katika mfungo, tumwagiane bashasha za upendo!(Hata kama utakuwa ni ule upendo wa kufikirika mradi watu roho zisuuzike) Tulikuwa tunajidai cc imejaa mapendo, tuyaendeleze! Wanaotongozana kwenye pm waendelee tu kiroho safi lkn wasije kukashfiana kwa nyuzi humu! Wamalizane kwa PM! Mods wafanyie kazi nyuzi kama hizo with immediate effect!
Mwisho, nasemaje............nampenda mume wangu sosoliso "simpendei ugiant wake bali mambo mengine" Long live my ozzbend sosoliso brigedier general wa cc brigade!
 
Last edited by a moderator:

Na juzi kaoa tena.
 
Unatumia kinywaji gani?
 
Last edited by a moderator:
mm mwenyewe sijui anafanya kazi gani kwenye uongozi wake maana kuna kesi nyingi za CC nimempelekea mezani kwake wala hata moja hajashughulikia sijui ni ubabe wake tu hapa anaonesha, na vilevile ameniambia niandae vyeti vya marriage wa cc nimeandaa ajatoa hata kimoja kwa wale wanandoa wa ccc, yaani kila ninachompelekea yeye afanyi kazi yake ni kukalia domo tu humu mjengoni, na majukumu hayatelekezi ndo mana watu wamekasirika na wameamua wafanye mapinduzi juu yako kama utachukua hatua kali lazima ung'oke wewe Baba V, maana hueleweki .
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hasira za Himidini zimetokana na mimi kumwambia Queen Kan anipe uthibitisho unaoonyesha ni lini ameachana na king kan ili niidhinishe ndoa yake na Himidini...

Chairman Baba V sasa ndio nimetambua chanzo cha hii fitna.
Yaani watu wabavamia ndoa za wenzao halafu wanataka mwenyekiti uwathibitishe? Hiyo haikubaliki hata kama ni kwa gharama ya kuukosa uenyekiti.

Mbona sasa hili ni jepesi kwa Himidini na kundi lake walete uthibitisho wa talaka ya Queen Kan toka kwa king kan ili ndoa mpya ipate baraka zote. Vinginevyo Baba V anaendelea kukalia kiti chake bila bugudha!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha nicheke mie mlete dada yako aje anipige si anataka kunipiga
umri bongo kama mtu hajiheshimu hajiheshimu tuuu hata awe na miaka 70 ningemuona wa maana angenitafuta au angekuambia umlete maskani siyo alilolifanya
kuna kukua kwa aina nyingi.

Hahahaaaa........
Najua unachezea vyeupe....waogopa vyekundu.
We nawe hukui tuuuuuuuuuuu...........!!!!!!!!!
Aha!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom