Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Mwl gfsonwin naona hapa kuna mambo mengi sana ambayo yanasumbua hili jukwaa pengine tungepata mfano wa hizo nyuzi kabisa.
alaf hapa kuna mengi kuna wengine wanaingilia mawasiliano ya wenzao na huyu soon nitamuanika japo wengine wana mfahamu.

Me naona kama swala la nyuzi kuchafua watu me nafikiri ni mod kuliangalia.

Huyu ndo loya sas...halafu watu eti.wanaibuka kumpindua.mwenyekitu wetu? Haiwezekani
 
Last edited by a moderator:
yani hapa umenigusa bestito kwani cc ya zamani sio ya sasa imeingiliwa na watu wenye tabia za ajabuajabu na ule upendo wa zamani wa wanacc hauko tena sijui ni pepo gani limeingilia hapa, yani watu wa mji huu wanakosa hishima, ustaarabu hawana wala mapendo ya dhati hayako sijui ni kwanini? jamani tulete ule umoja wa nyuma ndio tutajenga nchi yetu ya cc hapa.
Mambo ya cc yamewekwa katika maisha halisi ya members. Na ndio maana mvurugano umeanzia hapo!
Cc tumejiundia mji au niseme nchi ya kufikirika, yenye maisha mazuuuuuri! kuna ndoa ambazo kama Mamndenyi anavyoziita ni za matandao, kuachwa, kuachana kuolewa nk, ni jambo la kawaida humu! Mji ambao tajiri aliyeko kwenye list ya forbes ana sh laki3!

Lakini tukishaingiza uhalisia baaaaas-ndo tunaharibu utamu wa kuchit-chat!

Watu pipo,sie ni watu wazima, tumekosea! Tukubali! Tukubali kujirudi kwa ustaarabu turekebike! Tuanze upya! Kwa amani na kiroho safi! Miongoni mwetu wapo walio katika mfungo, tumwagiane bashasha za upendo!(Hata kama utakuwa ni ule upendo wa kufikirika mradi watu roho zisuuzike) Tulikuwa tunajidai cc imejaa mapendo, tuyaendeleze! Wanaotongozana kwenye pm waendelee tu kiroho safi lkn wasije kukashfiana kwa nyuzi humu! Wamalizane kwa PM! Mods wafanyie kazi nyuzi kama hizo with immediate effect!
Mwisho, nasemaje............nampenda mume wangu sosoliso "simpendei ugiant wake bali mambo mengine" Long live my ozzbend sosoliso brigedier general wa cc brigade!
 
Hahahaaaa........
Najua unachezea vyeupe....waogopa vyekundu.
We nawe hukui tuuuuuuuuuuu...........!!!!!!!!!
Aha!!!

Mwalimu wangu hebu kujamo PM tutete lol...ki Cc kiroho safey
 
Chairman Baba V sasa ndio nimetambua chanzo cha hii fitna.
Yaani watu wabavamia ndoa za wenzao halafu wanataka mwenyekiti uwathibitishe? Hiyo haikubaliki hata kama ni kwa gharama ya kuukosa uenyekiti.

Mbona sasa hili ni jepesi kwa Himidini na kundi lake walete uthibitisho wa talaka ya Queen Kan toka kwa king kan ili ndoa mpya ipate baraka zote. Vinginevyo Baba V anaendelea kukalia kiti chake bila bugudha!

^^
Chit Chat tumeikuta na Tutaiacha..
Kwa kuwa sasa uongozi unatumia hoja nyepesi kufunika hoja nzito.
All the Best
Kaeni kwa amani CC
^^
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa........
Najua unachezea vyeupe....waogopa vyekundu.
We nawe hukui tuuuuuuuuuuu...........!!!!!!!!!
Aha!!!
hapo kwenye kukua naona kuna mtu unamlenga
 
chairman baba v sasa ndio nimetambua chanzo cha hii fitna.
Yaani watu wabavamia ndoa za wenzao halafu wanataka mwenyekiti uwathibitishe? Hiyo haikubaliki hata kama ni kwa gharama ya kuukosa uenyekiti.

Mbona sasa hili ni jepesi kwa himidini na kundi lake walete uthibitisho wa talaka ya queen kan toka kwa king kan ili ndoa mpya ipate baraka zote. Vinginevyo baba v anaendelea kukalia kiti chake bila bugudha!

jamani unamuonea babe wangu ujue!! Kwani yeye ameseme mwenekiti aondoke!?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Himidini unataka kuondoka chit chat? kuna kitu unakosea labda useme ur not serious...

^^
Haya maji marefu,,ngoja niende nchi nyingine ya Jamiiforum.
We will be in touch there brother.
Sisi sote ni ndugu na Marafiki.
AMANI IWE KWENU
^^
 
Last edited by a moderator:
Hhahaa apo ndo napoipendea Cc sasa mwalimu wangu

Naomba niwaalike Yo Yo na C.T.U waje kusuluhisha haya maugomvi
Dah!!! jana nilikuwa wapi mie, nimekosa uhondoooooooooooo wallahhhhhh!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
yani uongeacho mwana ni kweli tupu zamani hakukuwa na malumbano, majizibiano, wala chuki katika jukwaa hili tulikuwa na upendo wa dhati, tulipendana na tulijaliana sijui ni pepo gani kapita hapa na kkuchafua jukwaa hili nami naona mods waangalie upya ili kusafisha mahali hapa na wale wanaopenda kuwachafua na kuwaboa, kuwakwaza wenzao si busara wala uungwana kabisa wajirekebishe
Mwl gfsonwin naona hapa kuna mambo mengi sana ambayo yanasumbua hili jukwaa pengine tungepata mfano wa hizo nyuzi kabisa.
alaf hapa kuna mengi kuna wengine wanaingilia mawasiliano ya wenzao na huyu soon nitamuanika japo wengine wana mfahamu.

Me naona kama swala la nyuzi kuchafua watu me nafikiri ni mod kuliangalia.
 
Paloma umeongelea la msingi sana
sasa hapa ukimuuliza gfsonwin ulitaka Baba V afanyejekuhusu hizo pm anazosema wanamsema hana la kujibu
ukimuuliza Baba V afanyeje kuhusu msuto wa Zinduna ambao kimsingi hakumtaja mtu ila kauvagaa hana point zaidi
anyway kwangu mie awepo Baba V asiwepo asiwepo yote sawa
 
Last edited by a moderator:
^^
Usibadili mwelekeo wa hoja,,uliniuliza hoja zangu,,nikakupa tena hapa hapa! Halafu sasa hivi unageuka kwamba huzioni??
Hivi kweli una hisa JF? Eti
^^

Mara zote njano itabaki kuwa njano na nyekundu itabaki kuwa nyekundu.. Mark my words... Hatuendi kwa kulazimisha mambo... vigezo na masharti kuzingatia...
 
hapo kwenye kukua naona kuna mtu unamlenga

Halafu kabla sijakulamba ban..hii post yako ya mwisho kwen huu uzi wa watu wazima...sawa eeh. Sema bdio dadii. Lol

Cc Madame B
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom