Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
babe dont go jamani! Dont make it a big deal!! Naumia ujue
^^
Nilikupenda Nakupenda na Nitazidi kukupenda.
Baba V ndiye anaamua nani ampende nani na Majungu ya humu ni ruksa,,soon tutaanza kuchafuliwa hapa kwa habari za uongo na uzushi ili kuhalalisha maamuzi yao.
CC is never the same As it used to be.
Mwenyekiti namkumbusha umuhimu wa kujali mahitaji ya familia hii lakini ameweka busara pembeni na kujikinga na Cheo.
Ur under control
Usijali tutakuwa tunakutana paleee!
Si unajua king kan alitoa baraka ila jamaa anapindisha ukweli ili awaridhishe wafuasi wake.
LUV U ma beibe!!
^^
Last edited by a moderator: