Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
Hahahaa Baba V basi nikwambie mie nimefunzwa kupokea hata kama ni kibovu, mfano samaki wabichi waloanza kuharibika, nishukuru kwa upendo kisha nitafute viungo na ndimu niwatengeneze na kuwapika hata ubovu usijulikane! Au kama ni mboga za majani zimeanza kuharibika ntazichambua na kuzikausha, kisha nitafute karanga au nazi nizipike kwa ufundi zilike! So hata ile mandolin niliifanyia manuva ikaingia katika business, imezaa Defender 110 brand new nimenunua(japo nimelipa kwa mafungu) pale CMC! Na bado ndoa yangu na sosoliso inayeyaaa! Huyo ndo Paloma Blanca!

Lazima ni hakikisha Paloma unatoka mikononi mwa sosoliso usije ukafungwa.
 
Last edited by a moderator:
alaf sijajuan shem Lady doctor anaendeleaje maana nilipata taarifa kapigwa na Arushaone mpaka sasa hivi jino moja hana, ngoja nifanye utaratibu wa kuivunja hii ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Wale wanamapinduzi.mbona siwaoni tena hapa mkiti?

hahahahaha ntangia niwambie nitamshauri mwenyekiti afungulie ghala la silaha kuwaangamiza wote wamekimbilia msituni wakiongozwa na shem Nivea(savimbi)
 
Last edited by a moderator:
Wakati unakunywa hiyo chai ongea na amu banaa afanye haya mambo kama yameisha! Yaishe! Aitafute sana amani! Na kisha ukienda kunywa divai na gfsonwin muombe naye afanye yameisha. Tuitafute amani na tuishike sana! Tuishi kama zamani! Tusameheane! Na kuganga yajayo! Haya na yeshe basiiii.......!!!
Umenisikia?

He mi naanzia wapi Paloma? Heee ebu niache miye kila mtu anajua wajibu wake...hapa amani ipo sana tu kama tukifata utaratibu wetu wa hapa...wa nje ya hapa mi siujui wala sitaki kuujua
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha ntangia niwambie nitamshauri mwenyekiti afungulie ghala la silaha kuwaangamiza wote wamekimbilia msituni wakiongozwa na shem Nivea(savimbi)

Hahaha wamegundua hawana hoja bora warudi kundini tu ...uasi sio mzuri hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Waliingia chit chat wakijitanabaisha kama mke na mume ila sina kumbukumbu ni lini waliachana....

sikuachana naye kwa talaka kuna mamluki waliniibia baada ya kuwa busy majukwaa mengine. Halafu aliyeniibia àti kajipachika m/mwenyekiti.
 
sikuachana naye kwa talaka kuna mamluki waliniibia baada ya kuwa busy majukwaa mengine. Halafu aliyeniibia àti kajipachika m/mwenyekiti.

Jiamini banaa kwanini uibiwe banaaa?!
 
^^
I always decide once and live my decision
Colour ur judgement so U will be right
^^

fight for what you believe in, japo uliniibia mke wangu its no big deal. Provided mmependana sina neno tena.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom