Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Tamko,kauli na karipio KALI toka kwa mwenyekiti Baba V.

Status
Not open for further replies.
yani hapa umenigusa bestito kwani cc ya zamani sio ya sasa imeingiliwa na watu wenye tabia za ajabuajabu na ule upendo wa zamani wa wanacc hauko tena sijui ni pepo gani limeingilia hapa, yani watu wa mji huu wanakosa hishima, ustaarabu hawana wala mapendo ya dhati hayako sijui ni kwanini? jamani tulete ule umoja wa nyuma ndio tutajenga nchi yetu ya cc hapa.

ujue nini cousin, nimegundua kuna watu wengi hawajui nini maana ya chit chat hususani wageni na wenye wachache sana, ndio maana kunakuwa na misunderstand.....!!!!
Inabidi tuwape darasa kwanza kabla hawajaanza kuchafua hali ya hewa ya mjengoni cc!
 
hapa mwendo kama ivory coast.mwenyekiti king'ang'anizi bakia ikulu hakuna kutoka.na mwenyekiti mtaka kiti wewe kajiapishe hotelini fungua ikulu yako huko mpaka kieleweke
 
nauliza tu mapinduzi sio ndio kupindua?kupindua si ndio kugeuza?na anayepinduliwa si huwa anagoma kutoka?kwa hiyo kumfanyia mtu mapinduzi kunafanana na yale mambo yetu MBUZI KAGOMA KWENDA?hivyo hapa nivea ana-mbuzi kagoma kwenda baba v?(itikieni ndiooooooooo mc).huyu binti nivea anatafuta laana.aombe radhi
 
ujue nini cousin, nimegundua kuna watu wengi hawajui nini maana ya chit chat hususani wageni na wenye wachache sana, ndio maana kunakuwa na misunderstand.....!!!!
Inabidi tuwape darasa kwanza kabla hawajaanza kuchafua hali ya hewa ya mjengoni cc!
shem usijali amani inaanza kurudi na kuhakikishia mambo yatakwenda sawa.
hivi shem Lady doctor mumeo Arushaone yupo? au nawewe umekimbiwa kama Paloma?
 
Last edited by a moderator:
kwakweli may be akija mwenyekiti mpya tutaona maendeleo maana tunaibiwa waume zetu waziwazi, wa Baba VV unaangalia tu bila hata kusuluhisha sasa ulichaguliwa wa nn mama yangu Mamndenyi anaachika tu kila siku hata kuzuia ugomvi sijui ulikuwa wapi
besti yangu nae Lady doctor ndoa changa inavunjika kisa kifanyio hata fungate halijaisha kwani kazi yako nn hasa

hahahaaa my dear, mi ndoa yangu haijavunjika banaa, nipo na mume wangu Arushaone ananipenda nami nampenda kwa roho moja.... Huyo mama mkwe wako Mamndenyi tatizo lake anafungia ndoa vichochoroni tena za mkeka ndio maana taraka hazimuachi....!
Halafu unitafute mwaya nikupeleke sehem flani hivi ukamwekee kinga mumeo kila akienda lala na awara kifanyio chake kinayeyuka... Akirudi kwako nachenyewe kinarudi...... Nakuhakikishia kiwatengu lazima awe wako peke yako.
 
Last edited by a moderator:
mie mashairi siyawezi kama Himidini lakini kidogo tu 'nakuona uu mnyonge sana,
nami nilikuwa hivyo kule kigoma,
usilie kwa uchungu ..........,
mimi leo niko dar.....'
nadhani umepata picha.

Nimekusoma kama ndiyo hvyo huyu mwanamke wako! duh hata huyu mkuu Himidini kashtuka na anataka kukimbia kijanja na kuanza kusingizia uongozi!!
 
Last edited by a moderator:
ujue nini cousin, nimegundua kuna watu wengi hawajui nini maana ya chit chat hususani wageni na wenye wachache sana, ndio maana kunakuwa na misunderstand.....!!!!
Inabidi tuwape darasa kwanza kabla hawajaanza kuchafua hali ya hewa ya mjengoni cc!

Mwaya Lady doctor umesema vema, inabidi kina invizibo watoe darasa tena!
Cc Invisible wooote
 
Last edited by a moderator:
shem usijali amani inaanza kurudi na kuhakikishia mambo yatakwenda sawa.
hivi shem Lady doctor mumeo Arushaone yupo? au nawewe umekimbiwa kama Paloma?

itakuwa vyema kama amani itarudi shem, maana watu ndio wameifanya dampo la kutupia hasira, maudhi, kejeli na bf zisizokuwa na mpango

btw, my Arushaone yupo bz na uchaguzi, ukiisha utamuona.
 
Last edited by a moderator:
sikuachana naye kwa talaka kuna mamluki waliniibia baada ya kuwa busy majukwaa mengine. Halafu aliyeniibia àti kajipachika m/mwenyekiti.

Bora umekuja na kuweka mambo sawa.. kuna watu wamenizushia hapa eti nawafanyia fitna wameamua kukimbia jukwaa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom