Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

BASUTA acheni ujinga jikiteni kwenye kujenga au kupangua hoja za huo mkataba wa bandari acheni kushutumu wanaopinga kwa hoja zao huo ni upuuzi. Kuweni na weledi kama wenzenu hao walivyojenga hoja katika upeo wa hali ya juu sio mnaleta tamko la ajabu ajabu kana kwamba hamna elimu ya kupembua mambo
 
Kwa tamko/waraka huu,for sure uelewa wao unatosha kuvukia barabara tu....
Wakiambiwa someni na
Elimu Dunia hawataki.
 
Wamejiahibisha bora wangekaa kimya maaskofu wana phd wale sijui kamanwao wana hata diploma?
Alafu wanahoja ila wao sion hoja
 
Mkataba unaelekea kutugawa watanzania Mungu aingilie kati hili
 
Wanajua sheria,wasomi ila hao ukiangalia tu wanachoongea hata elimu yao unaweza ukaisema ni ya kiwango gani. Hawana hoja
Wanesoma sheria wote una credentials zao? au umekalilishwa kama mbumbumbu wa kikatoliki
 
Hiyo mikataba mingine uliwahi kuiona? Tuwekee hapa mmoja wapo hapa tuuchambue na kuona uzuri wake au ubaya wake.Mambo ya dini waachie wenyewe huko sisi huku hayatuhusu, deal na mikataba tu.
Umezaliwa mwaka gani halafu nijue kama ulikuwepo au
 
takataka tupu. Madrasa training utaongea nini katika field inayohitji involvement ya higher mental faculties of reasoning? hayajagusa dosari zilizotolewa na wataalamu. takataka zinasahau kuwa catholic Bishops wametumia wataalamu wao wa sheria na si kuwa wameongea from the dini point of view. Ni deliberation from highly learned Law experts within the catholic church/brothers
 
Wewe una kasoro huenda hujausoma vizuri sometime ficheni chuki zenu
mnatia aibu taasisi yenu, ina maana hakuna wasome wenye upeo wa hali ya juu wa kuweza kujenga hoja za kueleka kwenye taasisi yenu? It's seem poorlly
 
Waraka mzuri sana.
 
Haya makanisa ya hapa Tanzania yanaendeshwa na Mafarisayo na Masadukayo. ,wanaokula hela za watu eti sadaka ya bwana.
majirani zangu hapa wamelalamika na sasa hawatoi tena hela yao kuwapa mafarisayo na masadukayo waliozamia kwenye makanisa.
 
Kwanini hawa Basuta wanapenda kujidharirisha namna hii. Badala ya kujadili hoja wao wanakuja na tamko la kulaumu mawazo ya wenzao waliokosoa na kuonyesha kasoro za mkataba. Au ni kwasababu ya njaa ya tende na nyama ya ngamia? Kuna watu na viatu!!!
 
Note: tunaamini uwezo wa akili wa viongozi wa answaar sunna ndio uwezo wenu nyie katika imani. Kama dp world atawekeza kweli basi hawatakubali kuwa na watu kama nyie kwenye operations zao Waalllah!
 
Kwa Wakristo wenye akili au waislam Ya Mungu atampa Mungu na Ya kaisari atampa kaisari
Shida inakuja Wakristo wengi vichwa vimejaa kutu na waislam vichwa vimejaa kutu sasa kipofu anamcheka kiwete inatakiwa tuweke vilaini kuondoa kutu hizo

Mamlaka yako ktk dini yako yasikufanye utawale kote kuna safari moja nilikuwa nafukuza watu wasikojoe ktk ukuta wa nyumba yetu akaja Baba mmoja na wakina Mama wawili akata kukojoa eti ndani aingie nikamuekelekeza choo cha kulipia hataki anataka choo cha ndani ya nyumba yetu nikamkatalia akasema hujui kama mm Ni Baba askofu na wala wa kina mama wakasema unamkatalia mtumishi wa Mungu kijana utapata laana nikawaambia neno moja nitoleeni upuuzi wenu hapa wakaondoka wanasonya tuu
Hivi viongozi wa dini sijui wanajikuta wakina nani hapa duniani wakati dini zenyewe hazina ukweli wowote

mambo ya dini mnayaleta ktk nchi hivi undhani Yesu wa Galilaya alivyosema Ya Mungu mpeni Mungu na Ya Kaisari mpeni kaisari hamkuelewa hapa nikisema Wakristo na waislam vichwa vyenu vimejaa kutu nakosea maana hamfati maandiko yenu Askofu Padri Sheikh kutawala nchi sio busara ukitaka uje huku fanya kama Gwaj boy
 
Chanzo cha yote haya ni Rushwa ya DP World.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…