Hayo maneno au tamko si la Shibuda. Ni tamko la umoja wa vyama vya upinzani. Ingekuwa ni ya Sjhibuda CHADEMA wanekanusha. Kumbuka CHADEMA ni sehemu ya hilo tamko, sioni kwa nini mashabiki wanashambulia.Haya maneno aliyoongea Shibuda, juzi nimemsikia mgombea urais wa ADC naye kayasema hivyo hivyo. Inafikirisha mgombea wa urais anasema mshindi atakuwa wa chama kingine, kisha anasema hicho chama kingine kinachojaza kisidanganywe na nyomi. Hivyo vyama visivyo na nguvu, vyote vimepangwa na ccm ili kuwaandaa wapinzani wa kweli kuporwa ushindi wao.
Madini gani unayo ww, kama madini yangekuwa mali hivyo nchi hii ingekuwa masikini hivi.Wewe unayetamka machafuko ndiyo utaingiza nchi kwenye machafuko. Yakianza utakimbilia Ubelgiji, utaacha wajinga wanapigana ili baadae uje ukatumbue. Watanzania wanajuwa zaidi. Hawawezi kuingia mtego wa kumsimika Mbelgiji Lissu akaweke madini yetu rehani.
Hayo maneno au tamko si la Shibuda. Ni tamko la umoja wa vyama vya upinzani. Ingekuwa ni ya Sjhibuda CHADEMA wanekanusha. Kumbuka CHADEMA ni sehemu ya hilo tamko, sioni kwa nini mashabiki wanashambulia.
Uko sawa! Mara nyingi tunatumia lugha jumuishi!HAKI YAKO YA MSINGI KWENDA NA MTAKAE, KAMA LISU NI HAKI YAKO. ONDOA NENO SISI MAANA HILO NI NENO JUMUISHI. SEMA WEWE (MIMI) NA WENZAKO (WENZANGU). uNAPOSEMA SISI UNAMIJUMUISHA MIMI WAKATI MIMI SIKO UPANDE WAKO, NA NINA HAKIKA KUNA MAMILIONI HAWAKO UPANDE WAKO, INGAWAJE KUNA MAMILIONI PIA WAIYO UPANDE WAKO.
hongera mkuu umesoma hadi point ya 31.,binafsi nimeishia ya pili hahaMWISHO KABISA WAMESEMA
31. Watanzania tukumbukeni kuwa sumu haiwekwi jikoni, Nafasi ya Kiti cha Uraisi wa Tanzania Sio Asali ya kuchovya chovya na kila kidole
SIJUI WAMEMAANISHA NINI [emoji23]
Mzee Shibuda umeeleza ukweli mtupu na sisi wananchi tumeapa kumpigia kura nyingi za KISHINDO JPM.
October 28th tutachagua MAENDELEO ya kweli na si mwingine wa kuyaleta ni JPM.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hakika na wewe pia Mkuu maana kwa kukuona unaonekana MAENDELEOSema ww na familia yako, usitujumuishe
Hakika na wewe pia Mkuu maana kwa kukuona unaonekana MAENDELEO
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
JPM anakwenda kumaliza shida yote ya maji, mpaka sasa ipo miradi mikubwa ya maji katika utekelezwaji.Kwetu hayo ndio maji yanatoka bombani, hayo maendeleo Sasa ni yapi kwangu kama hata maji tu lazima nichuje kwa dawa ya maji?
JPM anakwenda kumaliza shida yote ya maji, mpaka sasa ipo miradi mikubwa ya maji katika utekelezwaji.
October 28th nenda kampe KURA MAGUFULI
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hata Lisuu hawawezi kufanya maajabu maana Development is the gradual process....JPM atatufikisha vizuri tunapopataka hebu tumpe kura za NDIO.Miaka mitano yote ameshindwa ataweza vipi hiyo mingine?
Ww kwenu Yanatoka maji kama haya? Hebu tuwe realistically kabisa
Nakubaliana naweHata Lisuu hawawezi kufanya maajabu maana Development is the gradual process....JPM atatufikisha vizuri tunapopataka hebu tumpe kura za NDIO.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ha ha haaa! Walijifanya wanaomba maswali kutoka JF ili wafafanue sera na ilani zao, walipokutana na maswali nondo kutoka JF, hawajaonekana tena...Ha ha haaa! Ngudu Antipasu nadhani bado anatafakari namna ya kujibu maswali tuliyomuuliza hapa JF.Mzee wetu karibu sana jukwaani lakini usijekupotea kama viongozi na wanasiasa waliotangulia walivyolikimbia jukwaa.
Ha ha haaa! Walijifanya wanaomba maswali kutoka JF ili wafafanue sera na ilani zao, walipokutana na maswali nondo kutoka JF, hawajaonekana tena...Ha ha haaa! Ngudu Antipasu nadhani bado anatafakari namna ya kujibu maswali tuliyomuuliza hapa JF.
JF ni pamoto sana....! Yaani unatwangwa maswali unaanza "kusikia miruzi masikioni"!!!Lakini JF ingekua ni uwaja mzuri sana wa wao kujijenga na kuongeza uwezo wao kwenye maeneo tofauti tofauti.
JF ni pamoto sana....! Yaani unatwangwa maswali unaanza "kusikia miruzi masikioni"!!!
Hapa ni kweli ni sehemu nzuri ya kujifunza.
Nimefaidi elimu kubwa kupitia JF.