Kizinga mpemba JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 218 Reaction score 194 Oct 25, 2020 #61 Lissu kiboko kila MTU anazunguka mwisho anampiga dongo Ila maiti ikaribia kutoka ndani kilio kinazidi
Lissu kiboko kila MTU anazunguka mwisho anampiga dongo Ila maiti ikaribia kutoka ndani kilio kinazidi
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Oct 25, 2020 #62 Mag3 said: Mwandishi ni John Paul Shibuda John Paul Shibuda anadai kapteni wa timu ambaye angemchagua ni John Paul Magufuli Incidence, coincidence or genealogy action! Click to expand... Mkuu unatakiwa kusoma barua ikiwa ndani ya bahasha! Ha ha haaa. Hakuna haja ya kuifungua barua hiyo.
Mag3 said: Mwandishi ni John Paul Shibuda John Paul Shibuda anadai kapteni wa timu ambaye angemchagua ni John Paul Magufuli Incidence, coincidence or genealogy action! Click to expand... Mkuu unatakiwa kusoma barua ikiwa ndani ya bahasha! Ha ha haaa. Hakuna haja ya kuifungua barua hiyo.
Mag3 Platinum Member Joined May 31, 2008 Posts 13,413 Reaction score 23,592 Oct 25, 2020 #63 TUJITEGEMEE said: Mkuu unatakiwa kusoma barua ikiwa ndani ya bahasha! Ha ha haaa. Hakuna haja ya kuifungua barua hiyo. Click to expand... Umeona eh? Pombe ya asubuhi mbaya sana!
TUJITEGEMEE said: Mkuu unatakiwa kusoma barua ikiwa ndani ya bahasha! Ha ha haaa. Hakuna haja ya kuifungua barua hiyo. Click to expand... Umeona eh? Pombe ya asubuhi mbaya sana!