Tamko la CCM kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Katika kiambatanisho
(Attachments) hapo chini ni Mafanikio yaliyopatikana katika Utawala Bora,Haki,Ulinzi na Usalama kupitia Serikali ya Chama Cha Mapinduzi( CCM) kwa mwaka 2019/2024 na ahadi kwa ajili ya utekelezaji katika kipindi kijacho cha 2024/2029 kwa ridhaa ya Wananchi.
CCM✅💯
Kura kwa CCM kwani ni chama kinachoahidi na kutekeleza .