Mtukudzi
Senior Member
- Nov 14, 2013
- 103
- 408
- Thread starter
- #141
Unaota?Hakuna statement ya aina hii,huu ni mwendelezo wa Chadema kuendelea kuipaka matope serikali na kuichafua nchi kwa kuwa wameshindwa.
Nimeongea na mmoja wa wanahama wakongwe wa EFF na amekanisha huu waraka. Home Main - EFF
Amka wewe uliye usingizini.
Ni mwanachama gani mkongwe wa EFF umeongea naye? Hata hivyo hiyo EFF ina ukongwe gani kabla haujamuita mwanachama wake kuwa ni mkongwe?
Basi utakuwa umeongea na Julius Malema au na Bw. Kenny Kunene