Unaota?
Amka wewe uliye usingizini.
Ni mwanachama gani mkongwe wa EFF umeongea naye? Hata hivyo hiyo EFF ina ukongwe gani kabla haujamuita mwanachama wake kuwa ni mkongwe?
Basi utakuwa umeongea na Julius Malema au na Bw. Kenny Kunene
Nadhani unaijua ile kanuni ya "BEYOND REASONABLE DOUBT." Tutashawishikaje kwamba mhusika hakuacha kujipigia kura makusudi ili afabricate kisingizio kwamba kuna walakini kwenye mchakato mzima.