Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la Zakaria Alberto.

EFF katika barua yake imeeleza kuwa kukamatwa kwa Thabo nchini Tanzania ni kielelezo cha uzembe, rushwa na kukosa umakini kwa hali ya juu mamlaka zinashughulikia wafungwa nchini Afrika Kusini pamoja na washirika wake katika masuala ya ulinzi kutoka nchini Israel

Jeshi letu la Polisi liwakamate ma Mafisadi na majambazi waliojaa kwenye ofisi zetu za umma
EFF1.jpeg
EFF2.jpeg

J
 
Leo nchi yetu Tanzania siku hii ya April 8 2023 imekuwa katika habari zinazoongoza katika vyombo vya habari duniani kote kufuatia habari za kukamatwa kwa jambazi sugu aliyeshirikiana na vyombo vya usalama vya Afrika ya Kusini vinavyonuka rushwa.
 
TISS iko vizuri mno Kati ya nchi za Africa
Mungu ibariki Tanzania
 
Leo nchi yetu Tanzania siku hii ya April 8 2023 imekuwa katika habari zinazoongoza katika vyombo vya habari duniani kote kufuatia habari za kukamatwa kwa jambazi sugu aliyeshirikiana na vyombo vya usalama vya Afrika ya Kusini vinavyonuka rushwa.

Vipi na wale "wevi" wetu wa humu ndani waliotajwa na CAG watashughulikiwa??!!
 
Toka lini EFF imekuwa chama kikuu cha upinzani SA?
 
.

Basically watanzania wengi ni wezi na hawana uaminifu, ni vile tu hawajapata nafasi ya kuiba.
Ni kweli. Hata mm na wewe pamoja na yule wote wezi tu. Wanaolalamika ni kwakuwa tu wanaona wivu Biswalo kapata kuliko wao.
 
Back
Top Bottom