-------------------
Atukuzwe Mungu Milele;
Yeye aliyewavusha watu wake katika Bahari ya Sham, dhidi ya jeshi kubwa na katili la Firauni (Pharaoh), ambalo lilimezwa na wimbi kuu la Maji na kuangamizwa kabisa...Mkono wa Mungu hadi kuwafikisha nchi Mpya, ya Maziwa na Asali (Canaan Mpya)...ndiyo kazi ya MUSA!
Ndiye Dr Slaa...MUSA wa Taifa hili, Mkono wa Mungu uu juu yako...na waana wa nchi hii wote wapo nyuma yako kuifikia Canaan Mpya, na Nguvu ya Mafirauni itaangamizwa punde ktk ulimi wa mkondo wa maji, maji ya Bahari - mkono wa Umma usioshindwa kwa hila zozote!
TOA TAMKO BABA!
* Wasilisha kwa jamii nzima,
* Wanadiplomasia na Wawakilishi wa Jumuia za Kimataifa na Wahisani.
* Tume ifutwe, Uchaguzi urudiwe ndani ya siku 90, kwa gharama ya Ukombozi. na chini ya uangalizi wa Kimataifa
* Wote walioharibu, waapigwe stop mali zao na wasitoke au kupokelewa nchi yoyote hisani
* Taifa lote lipo katika majonzi makubwa, na hatuna majibu leo, kesho na siku zote.
AMEN