Zitto amepigwa na police Kigoma. Ameleeeza katika twitter yake hapa
Zitto Zuberi Kabwe (zittokabwe) on Twitter
Nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya Ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya Urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
Dr. Wilbrod Slaa | Facebook
http://www.facebook.com/WilbrodSlaa/posts/161833713850854
We acha matusi, sema tuko bega kwa bega, unataka kutupeleka mombasa!Mwanapinduzi Dr Slaa.....tuko nyuma yako baba, tuko nyuma yako!
We acha matusi, sema tuko bega kwa bega, unataka kutupeleka mombasa!
-------------------
Atukuzwe Mungu Milele;
Yeye aliyewavusha watu wake katika Bahari ya Sham, dhidi ya jeshi kubwa na katili la Firauni (Pharaoh), ambalo lilimezwa na wimbi kuu la Maji na kuangamizwa kabisa...Mkono wa Mungu hadi kuwafikisha nchi Mpya, ya Maziwa na Asali (Canaan Mpya)...ndiyo kazi ya MUSA!
Ndiye Dr Slaa...MUSA wa Taifa hili, Mkono wa Mungu uu juu yako...na waana wa nchi hii wote wapo nyuma yako kuifikia Canaan Mpya, na Nguvu ya Mafirauni itaangamizwa punde ktk ulimi wa mkondo wa maji, maji ya Bahari - mkono wa Umma usioshindwa kwa hila zozote!
TOA TAMKO BABA!
* Wasilisha kwa jamii nzima,
* Wanadiplomasia na Wawakilishi wa Jumuia za Kimataifa na Wahisani.
* Tume ifutwe, Uchaguzi urudiwe ndani ya siku 90, kwa gharama ya Ukombozi. na chini ya uangalizi wa Kimataifa
* Wote walioharibu, waapigwe stop mali zao na wasitoke au kupokelewa nchi yoyote hisani
* Taifa lote lipo katika majonzi makubwa, na hatuna majibu leo, kesho na siku zote.
AMEN
nawashukuru wote mliojitokeza kupiga kura na kukipa chama chetu ushindi wa kukumbukwa, ushindi wa kihistoria mkikaribisha mapambazuko mapya ya uongozi katika taifa letu. Kama ilivyokuwa kwenye matokeo ya ubunge matatizo yamehamia kwenye matokeo ya urais na kutokana na unyeti wa nafasi hii tunahitaji uangalifu katika kushughulikia. Msife moyo kwani tukiwa tayari muda si mrefu ujao tutazungumza nanyi kwa taarifa zaidi.
dr. Wilbrod slaa | facebook
http://www.facebook.com/wilbrodslaa/posts/161833713850854
Upuuzi mtupu,wote hawa wataka kuibatiza Tz,hana hata sifa yakuwa kiongozi,vip aseme Kikwete ni Gaidi,je hamuoni kama Slaa anaonyesha mkono wakanisa,Tamko hili apeleke kanisani,ila yeye mwenyewe mzembe tu
Wenzetu chaguzi zao ziko huru zaidi na haki kuliko chaguzi zetu zilizojaa usanii na wizi wa hali ya juu ili kung'ang'ania kubaki madarakani.
BBC News - Partial Ivory Coast election results show tight race