R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Mji wa Biharamulo umeanza kutoa matangazo kwa kutumia magari vijijini kuwaomba Wanyarwanda kuanza kuondoka nchini.
1. Bei za ng'ombe zimeshuka kwa 50% ikizingatiwa Rwanda walishaondoa marufuku ya kuingiza ng'ombe
2.majumba wamewakabidhi baadhi ya ndugu na marafiki wa Kitanzania.
3. Wengine wameaanza kukimbilia Arusha , Dar es salaam na mikoa ya pembezoni mwa Kagera.
Hii ni kutokana na agizo la raisi alilojionea .
Baada ya kushitushwa na escort kubwa ya magari na silaha nzito kuvuka pori la Kasindaga /Burigi Kagera na kuona baadhi ya makundi ya ng'ombe ya Wahima kutoka Rwanda.
Ingawa baada ya kuwaoji wengine wamehusisha na kutokuwepo na mahusiano mazuri bana ya Kagame na Kikwete kuwa ndo sababu ya kurudishwa Rwanda.