simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Amounts to forcible eviction. Busara za uongozi zipo wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe ni intarahamwe au banyamulenge? Nina shaka na uraia wako
nje ya nini?? chumba, nyumba, zizi, au?? em funguka tukueleweDuh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo, najua wakimbizi wengi watadhulumiwa malia na haki zao na polisi. Mi nimeishi nje kati ya 2003 to 2007 najua hawa jamaa wanavyohitaji msaada wa kisaikolojia, tusiwatukane na kuwabambikia ubaya.
Mji wa biharamulo umeanza kutoa matangazo kwa kutumia magari vijijini kuwaomba wanyarwanda kuanza kuondoka nchini.
1. Bei za ng'ombe zimeshuka kwa 50% ikizingatiwa rwanda walishaondoa marufuku ya kuingiza ngombe
2.majumba wamewakabizi baadhi ya ndugu na marafiki wa kitanzania.
3. Wengine wameaanza kukimbilia arusha , dar es salaam na mikoa ya pembezoni mwa kagera.
Hii ni kutokana na agizo la raisi alilojionea .
Baada ya kushitushwa na escort kubwa ya magari na silaha nzito kuvuka poli la kasindaga /burigi kagera na kuona baadhi ya makundi ya ng'ombe ya wahima kutoka rwanda.
Ingawa baada ya kuwaoji wengine wamehusisha na kutokuwepo na mahusiano mazuri bana ya kagame na kikwete kuwa ndo sababu ya kurudishwa rwanda.
Shida yangu kubwa na hawa jamaa ilikua ni uharibifu wa mazingira uliokuwa ukifanywa na mifugo ya hawa jamaa na silaha walizikua wanaingiza nchini na kutumiwa kwa ujambazi
Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo, najua wakimbizi wengi watadhulumiwa malia na haki zao na polisi. Mi nimeishi nje kati ya 2003 to 2007 najua hawa jamaa wanavyohitaji msaada wa kisaikolojia, tusiwatukane na kuwabambikia ubaya.
Naamini wanyarwanda watajutia mifugo yao, wamejazana wakifuga maeneo ya vijiji vya Mavota, Nyakayenze, Nyakanazi, Nyantakara, Msalabani,Lusahunga, Runzewe, Nyampalahala...vyote vyapatikana wilayani Biharamulo. Na wanachungia mifugo yao katika pori la hifadhi la Biharamulo japo siku hizi Maliasili wameweka kambi hapo walau imepunguza kasi zao.
Kagame alisahau ihsaan zote na uhuru waliofanyiwa na Tanzania.
Kahama na Mwanza pia wamejaa, ningeshauri uhamiaji wangeanza kusimamisha mabasi na kufanya ukaguzi.
Pale Dar (Ukonga na Kitunda) pia wametapakaa sana, nawajua wengi sana eneo hilo na wamejiimarisha kwa kujenga.
Ukiingia mgodi wa Tulawaka, kwa wale vibarua wanaojishughulisha pale wengi wao ni Wanyarwanda. Wanaoongoza kwa uporaji na kuuliwa na askari wa mgodi huo...wengi wao ni wanyarwanda.
Wanaoongoza utekaji magari na hasa mabasi eneo la mkoa wa Kigoma, Kagera na Geita...ni wanyarwanda. Nimeyashuhudia hayo.
Pale Katoro, wanaoongoza kujishughulisha na pilika za biashara wapo wanyarwanda wengi tu pale. Ukienda kwenye mgodi wa Nyarugusu na pori lote la hifadhi wa mlima kati ya Katoro-Geita...wanaofugia msitu ule ni wanyarwanda.
Ukienda Ilemela kule wanapouza mbao...wanaoingiza na kusafirisha mbao wengi wao ni Wanyarwanda na nawajua sana.
Ukiwa eneo moja katika kijiji cha Mkunkwa pale wilayani Biharamulo...asilimia 50% ni wanyarwanda.
Serikali ingeomba msaada hapa JF tuwaonyeshe mahali zaidi, au ifungue link maalum tuwape muongozo.
Ila kauli ya Kagame ndiyo ilikuwa kauli nzuri? banyamulenge utawajua tu!Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo.