Dotworld
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,035
- 3,776
ALEYN Tatizo ni kubwa zaidi, Wapo kila sehemu, mpaka wengine ni wameajiriwa Usalama wa Taifa Tanzania. Wenyewe wanajifanya ni wakazi wa Mkoa wa Kagera, wengine wamejipachika makabila ya Kitanzania wanajiita Wahaya, Wanyambo lakini si kweli. Ila Wahaya na Wanyambo + Wahangaza wanawajua vizuri kuwa ni Watutsi.Jk afanye utaratibu wasifike hata mikoa mingine.
Last edited by a moderator:
