Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Naamini wanyarwanda watajutia mifugo yao, wamejazana wakifuga maeneo ya vijiji vya Mavota, Nyakayenze, Nyakanazi, Nyantakara, Msalabani,Lusahunga, Runzewe, Nyampalahala...vyote vyapatikana wilayani Biharamulo. Na wanachungia mifugo yao katika pori la hifadhi la Biharamulo japo siku hizi Maliasili wameweka kambi hapo walau imepunguza kasi zao.
Kagame alisahau ihsaan zote na uhuru waliofanyiwa na Tanzania.

  • Kahama na Mwanza pia wamejaa, ningeshauri uhamiaji wangeanza kusimamisha mabasi na kufanya ukaguzi.
  • Pale Dar (Ukonga na Kitunda) pia wametapakaa sana, nawajua wengi sana eneo hilo na wamejiimarisha kwa kujenga.
  • Ukiingia mgodi wa Tulawaka, kwa wale vibarua wanaojishughulisha pale wengi wao ni Wanyarwanda. Wanaoongoza kwa uporaji na kuuliwa na askari wa mgodi huo...wengi wao ni wanyarwanda.
  • Wanaoongoza utekaji magari na hasa mabasi eneo la mkoa wa Kigoma, Kagera na Geita...ni wanyarwanda. Nimeyashuhudia hayo.
  • Pale Katoro, wanaoongoza kujishughulisha na pilika za biashara wapo wanyarwanda wengi tu pale. Ukienda kwenye mgodi wa Nyarugusu na pori lote la hifadhi wa mlima kati ya Katoro-Geita...wanaofugia msitu ule ni wanyarwanda.
  • Ukienda Ilemela kule wanapouza mbao...wanaoingiza na kusafirisha mbao wengi wao ni Wanyarwanda na nawajua sana.
  • Ukiwa eneo moja katika kijiji cha Mkunkwa pale wilayani Biharamulo...asilimia 50% ni wanyarwanda.
  • Serikali ingeomba msaada hapa JF tuwaonyeshe mahali zaidi, au ifungue link maalum tuwape muongozo.
Hii nimeipenda sana, km Serikali ni sikivu hata waliopo huko Ikulu na Usalama wa Taifa waondoke.
  • Huku kwetu kuna Wanyarwanda waliopo TRA
  • wapo waliko Wizara ya kilimo na Mifugo na wamepewa Vyeo vikubwa tu
Tulishamwambia rais JK kuwa kujiunga na hawa Rwanda katika EAC iko siku watatugeuka tusiungane nao maana wanatama sana ya kutawala Binadamu wenzao, hata ukifuatilia Historia yao ya HIMA Empire (BAHIMA) utaona ni watu wasio wastaarabu
 
Hawawezi kujifunza hao watutsi! Tabia za ubaguzi zipo kwenye damu. Hata waliozaliwa huku hiyo tabia wanayo. Mpaka sasa huko rwanda wahutu na watwa ni second class citizens.
That is very right mkuu...Watusi ni wabaguzi mno.Ubaguzi wao ni hardwired to their DNA....sin uhakika kama watabadilika.Kagame tumemkaribisha juzi tu ndani ya East Africa Community sasa ivi anaungana na Museveni kuanzisha kaumoja kengine tena wakimshirikisha Kenyatta huku waikiitenga Tanzania.Ukweli ni kwamba hatuwezi kubeba hii mizigo tena...wajipange sasa.Juzi Pk KASHAURIWA NA JK wapatane na wapinzani wake akaanza kuporomosha matusi...hao ndo warwanda....in a national scale,tabia zo zimeonyeshwa na rais wao.
 
They deserve it wahame kabisa nchi sio yao hii
 
[/LIST]
Hii nimeipenda sana, km Serikali ni sikivu hata waliopo huko Ikulu na Usalama wa Taifa waondoke.
  • Huku kwetu kuna Wanyarwanda waliopo TRA
  • wapo waliko Wizara ya kilimo na Mifugo na wamepewa Vyeo vikubwa tu
Tulishamwambia rais JK kuwa kujiunga na hawa Rwanda katika EAC iko siku watatugeuka tusiungane nao maana wanatama sana ya kutawala Binadamu wenzao, hata ukifuatilia Historia yao ya HIMA Empire (BAHIMA) utaona ni watu wasio wastaarabu

Yaani ndugu Ukwaju tupo pamoja kabisa! Inatakiwa ufanyike msako wa nguvu watolewe popote walipo. Mfano akina serukamba na ntukamazina ambao ni wabunge
 
Confirmed,kuna ndugu yangu ameolewa na Mnyarwanda huko mipakani jana nimepigiwa simu kuwa amechanganyikiwa pa kwenda maana amezaa na ndugu yangu watoto wawili na serikali wameweka matangazo wageni wote waondoke haraka kabla mpaka haujafungwa rasmi.

Ndugu yangu nae hajui afanye nini na familia bila mume wake ambaye anytime anarudi Rwanda.Mipakani umefanyika uzembe miaka mingi hadi watu wameoleana tayari!!!

Serikali ilinde vyema mipaka yetu tusiwe shamba la bibi.
 
Mji wa Biharamulo umeanza kutoa matangazo kwa kutumia magari vijijini kuwaomba Wanyarwanda kuanza kuondoka nchini.

1. Bei za ng'ombe zimeshuka kwa 50% ikizingatiwa Rwanda walishaondoa marufuku ya kuingiza ng'ombe

2.majumba wamewakabidhi baadhi ya ndugu na marafiki wa Kitanzania.

3. Wengine wameaanza kukimbilia Arusha , Dar es salaam na mikoa ya pembezoni mwa Kagera.

Hii ni kutokana na agizo la raisi alilojionea .

Baada ya kushitushwa na escort kubwa ya magari na silaha nzito kuvuka pori la Kasindaga /Burigi Kagera na kuona baadhi ya makundi ya ng'ombe ya Wahima kutoka Rwanda.

Ingawa baada ya kuwaoji wengine wamehusisha na kutokuwepo na mahusiano mazuri bana ya Kagame na Kikwete kuwa ndo sababu ya kurudishwa Rwanda.

Waondoke hawana lolote la msaada zaidi ya kutuvuruga.
 
Yaani ndugu Ukwaju tupo pamoja kabisa! Inatakiwa ufanyike msako wa nguvu watolewe popote walipo. Mfano akina serukamba na ntukamazina ambao ni wabunge
Waanze na wewe muhutu wa kigoma.
 
Tea party politics hizi,waende tuu and they will be better in Rwanda kuliko kukaa sehemu wanayochukiwa namna hii,Kagame atawapokea kwa mikono miwili waendelee kujenga nchi yao kwenda mbele na hope Rwandese hawata retaliate na huu upuuzi na kuanza kuwatimua watanzania Kigali na biashara zao.
 
Wewe ndio Mtutsi Waheed kabisa ambaye hujui asili yenu,
Nchi hiyo ni ya Wahutu na Watwa nyie mlitoka Ethiopia, enzi za kina Kushi nashauri yaani ikiwezekana UN ikubaliane na Barak Obama hata huko Rwanda mtimuliwe tena maana hamfai kuishi na Binadamu ni wabaguzi kupindukia leo wanaitaka DRC baada ya kushtukiwa na JK kuishi TZ sasa wanatimuka wote Biharamulo, na hapo ndio mwanzo tu na BADO damu ya Habyarimana itawarudia wote WAUAJI NA WABAYA NYIE [h=1]General Paul Kagame Assassinated President Juvenal Habyarimana, Former RPF Secretary General and Kagame's Chief of Staff Says[/h]http://www.afroamerica.net/AfricaGL...mes-chief-of-staff-says/#chitika_close_button
 
Shida yangu kubwa na hawa jamaa ilikua ni uharibifu wa mazingira uliokuwa ukifanywa na mifugo ya hawa jamaa na silaha walizikua wanaingiza nchini na kutumiwa kwa ujambazi

Mkuu mbaya zaidi wakati sisi tunahangaika na shida zote hizo zilizotokana na kuwahifadhi hawa watu, kiongozi wao anajifungia sehemu na rais wa Kenya kwa kushilikiana na M7 wanaweka mikakati ya kupunguza nguvu bandari yetu. Kama kweli maisha ya Rwanda ni bora kuliko ya kwetu kama wanavyodai, kwa nn wahangaike kukimbilia mikoa mingine badala ya kwenda kwao kwenye neema.
 
Hiyo ni trela movie lenyewe litawaangukia hivi karibuni. Hawawezi kujifanya wakali sana kwa just kushauriwa tu. Dawa yake tukiwateka aliowatuma wakafanye uharamia Kongo tunawabana virungu vyao na mabomu yao mawili mpaka watutajie nani aliyewatuma.

Halafu baada ya kupata ushahidi wakutosha tunakuja kumalizia hasira zetu hapo kwenye kijinchi kama wilaya moja ya Shinyanga.
 
Tea party politics hizi,waende tuu and they will be better in Rwanda kuliko kukaa sehemu wanayochukiwa namna hii,Kagame atawapokea kwa mikono miwili waendelee kujenga nchi yao kwenda mbele na hope Rwandese hawata retaliate na huu upuuzi na kuanza kuwatimua watanzania Kigali na biashara zao.
Kama kwao ni kuzuri kwa jirani walifuata nini? Na huyo Kagame wao alikuwa wapi kuwapokea kwa mikono miwili tokea mwaka 1994?
 
Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo, najua wakimbizi wengi watadhulumiwa malia na haki zao na polisi. Mi nimeishi nje kati ya 2003 to 2007 najua hawa jamaa wanavyohitaji msaada wa kisaikolojia, tusiwatukane na kuwabambikia ubaya.

mkuu kumwambia mtu arudi kwao kuna ubaya, ukatili uko wapi kama ana kwao ndugu??
 
Ukwaju! Thnx for this...ila kina Koba watakuita interahamwe.. hao watutsi wamejaa damu za watu mikononi mwao. They are no longer welcomed here. Muda waliokaa na jinsi Taifa lilivyowachukulia sasa inatosha. It is time for them to go back to their country...

Ndio, acha waende.
 
Hili zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu limechelewa sana, ninaunga mkono banyamulenge kuondolewa lakini JK alitakiwa atoe tamko hili mapema sana kabla hali haijawa mbaya kiasi ilivyofikia. Malalamiko juu ya wahamiaji hawa hayakuanza jana lakini alijifanya kama hakuna kinachoendelea. Ninashawishika kuamini ile kauli inayomtuhumu kuwa baba Riz ni mtu wa visasi na amefikia kutoa tamko hilo baada ya kutofautiana na Kagame la sivyo angeendelea kuziba masikio.
 
Confirmed,kuna ndugu yangu ameolewa na Mnyarwanda huko mipakani jana nimepigiwa simu kuwa amechanganyikiwa pa kwenda maana amezaa na ndugu yangu watoto wawili na serikali wameweka matangazo wageni wote waondoke haraka kabla mpaka haujafungwa rasmi.

Ndugu yangu nae hajui afanye nini na familia bila mume wake ambaye anytime anarudi Rwanda.Mipakani umefanyika uzembe miaka mingi hadi watu wameoleana tayari!!!

Serikali ilinde vyema mipaka yetu tusiwe shamba la bibi.

Kaeni kikao nyie wanandugu juu ya huyo mwenzenu. Ni vema kama huyo Mrwanda akaondoka na damu yake, yaani watoto. Ni ngumu ila ni vema zaidi.
 
Tea party politics hizi,waende tuu and they will be better in Rwanda kuliko kukaa sehemu wanayochukiwa namna hii,Kagame atawapokea kwa mikono miwili waendelee kujenga nchi yao kwenda mbele na hope Rwandese hawata retaliate na huu upuuzi na kuanza kuwatimua watanzania Kigali na biashara zao.

Bora urudi kwenu.
 
Koba kuna msemo wa kiswahili usitukane wakunga na uzazi ungalipo.............kiburi cha Kagame na wahuni wenzake ndio kimeamsha hasira hii ya watanganyika..! Get Kagame out of map akanyee debe ICC, wale wenye mtazamo chanya na kujua utu na kuishi kwa amani na majirani wapo Rwanda.....msiwe brainwashed kuwa bila Kagame hakuna Rwanda
 
Yaani ndugu Ukwaju tupo pamoja kabisa! Inatakiwa ufanyike msako wa nguvu watolewe popote walipo. Mfano akina serukamba na ntukamazina ambao ni wabunge

Mmeanza hivi watu wa Ngara/Kagera waliwakosea nini? Ntukamazina ni mnyarwanda toka lini? chuki tu zimewajaa......haya na muwaondoe na hao wasomali, wamalawi, wamsumbiji, wakenya etc. tuone nani atabaki.
 
Tea party politics hizi,waende tuu and they will be better in Rwanda kuliko kukaa sehemu wanayochukiwa namna hii,Kagame atawapokea kwa mikono miwili waendelee kujenga nchi yao kwenda mbele na hope Rwandese hawata retaliate na huu upuuzi na kuanza kuwatimua watanzania Kigali na biashara zao.

Koba ndugu yako Elizebeth Dominick sijamwona tangu tamko la JK litangazwe, nafikiri atakuwa anahaha sasa.....maanake baada ya mipakani zoezi litahamia DAR, Mwanza na Arusha...!
 
Back
Top Bottom