Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Mmeanza hivi watu wa Ngara/Kagera waliwakosea nini? Ntukamazina ni mnyarwanda toka lini? chuki tu zimewajaa......haya na muwaondoe na hao wasomali, wamalawi, wamsumbiji, wakenya etc. tuone nani atabaki.

Fabiola, issue hapa sio wanyarwanda..ni watutsi. Hao wakenya, wamalawi, msumbiji hawajaleta vurugu na hawana agenda za ajab kama walizo nazo watutsi za mambo kama bahima empire...km ambavo wanafanya huko drc...hope u got me. Na ww kama ni mtutsi jiandae. Na huyo ntukamazina na mshubi wa rulenge lkn ni mtutsi..
 
Hapa JK namsifu sana! tena tuliwalea sana, ak47 tz wameingiza wao, na kagame wao hana adabu alipomwambia rais wetu akipewa bandari ya dsm pekee analisha nchi nzima! kwanza anahatarisha uwepo wa EAC. wametuulia watu wengi kwa ujambazi na uharibifu mkubwa wa mazingira, hata tuliowapa uraia tuwanyang`anye
 
Lakini tumbuke, wema hauozi, hata wasiposhuruku hao wanyarwanda, wema wa nchi yetu na watzania wote uko pale pale.Waondokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, tuishi kwa raha zetu.waendeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kwenye nchi yao ambayo haina malaria, wake vile wanachuma mti wa uzima kwa kunywa damu ya binadamu wenzao.
 
Duh watz katili sana, kwa nini mnawabagua? Kwani kama ni waharifu wasichukuliwe sheria tu? Kauli ya rais haikuwa nzuri hata kidogo, najua wakimbizi wengi watadhulumiwa malia na haki zao na polisi. Mi nimeishi nje kati ya 2003 to 2007 najua hawa jamaa wanavyohitaji msaada wa kisaikolojia, tusiwatukane na kuwabambikia ubaya.

tatizo ni yule baba yao Kagame kamuudhi mkuu wetu!!
 
Kuna hawa march 23 watafika tu na huku nyie tuwachekeeni tu hawa watu
 
Umenena vyema ndugu! Ni kuwasaka watutsi wote na kuwarudisha kwao
Huna credibility kwenye hii issue you are just tutsi hater and FYI wageni wengi ni interahamwe wenzako waliokimbia 94,watutsi walipigana ili warudi Rwanda 94 na walisharudi,kama unaongelea watutsi asilia wa huko Ngara,Biharamulo,Karagwe etc they are there to stay na ni watanzania wazalendo kuliko wewe hater na wengine ni mawaziri na wabunge na hakuna kitu utafanya mshamba wewe,nenda ukakimbizane na interahamwe wenzako maporini wanaoteka mabasi.
 
Sasa jiulize kwann nyie watutsi tu ndo mfukuzwe? Mna shida gani? Unijibu. Sasa km unaona kagame atawapokea wajenge nchi yao walikua wakifanya nn hapa kwetu? Ugonvi mliuanza nyie sasa msilalamike. Na nyie mliojiingiza polisi msako unaanza soon. Stay tuned ww unayeishi 'carlifornia'... kama kuupigilia msumari uhusiano kati ya rwanda na TZ mlianza nyie.
Sikiliza wewe,ningekuwa tutsi from Rwanda ningekuwa wa kwanza kurudi Kigali au ningetaka kukaa TZ ningeweka status yangu vizuri long time ago na nisingeangalia nyuma,hao tutsi Rwandese walikufa na kupigana vita ili warudi kwao na wamesharudi,hizo story zako za tutsi crackdown is just hot air and doesnt make any sense,na hakuna mtu anaongelea kuwasaka watutsi zaidi ya wewe na ignorant wenzako humu wasioelewa,utashangaa interahamwe wenzako waliokimbia 94 ndio watanaswa na kurudishwa Kigali kwa aibu,na acha kutoa hizo stupid wild accusations na kutaja majina ya watu usiowajua,kama una matatizo nenda polisi kashtaki sio kuja humu unajificha nyuma ya ID rushasha na kuanza kuchafua watu
 
Sikiliza wewe,ningekuwa tutsi from Rwanda ningekuwa wa kwanza kurudi Kigali au ningetaka kukaa TZ ningeweka status yangu vizuri long time ago na nisingeangalia nyuma,hao tutsi Rwandese walikufa na kupigana vita ili warudi kwao na wamesharudi,hizo story zako za tutsi crackdown is just hot air and doesnt make any sense,na hakuna mtu anaongelea kuwasaka watutsi zaidi ya wewe na ignorant wenzako humu wasioelewa,utashangaa interahamwe wenzako waliokimbia 94 ndio watanaswa na kurudishwa Kigali kwa aibu,na acha kutoa hizo stupid wild accusations na kutaja majina ya watu usiowajua,kama una matatizo nenda polisi kashtaki sio kuja humu unajificha nyuma ya ID rushasha na kuanza kuchafua watu

Sasa wewe ni tutsi from where? Si mlisema interahamwe wapo DRC na ndo mana mnawafuata huko? Na 'sisi' tuliopo TZ kitu gani kimewashinda kuvamia TZ ili mje 'kutusaka'? You are just a loser...keep on dreaming madam. Kama unaona tutsi crackdown ni hot air wait and see mamy..
 
Huna credibility kwenye hii issue you are just tutsi hater and FYI wageni wengi ni interahamwe wenzako waliokimbia 94,watutsi walipigana ili warudi Rwanda 94 na walisharudi,kama unaongelea watutsi asilia wa huko Ngara,Biharamulo,Karagwe etc they are there to stay na ni watanzania wazalendo kuliko wewe hater na wengine ni mawaziri na wabunge na hakuna kitu utafanya mshamba wewe,nenda ukakimbizane na interahamwe wenzako maporini wanaoteka mabasi.

Am not a tutsi hater, I hate yr evil, devilish, satanic behaviors. I dont hate a human being created by GOD. It is you tutsi who got a hatred traits....u hate everyone who is not of yr ethnic group..you so badly treat the Hutus and Twas is rwanda. Yr other blood thirsty tyrant buyoya in burundi killed a lot of hutus plus their President Ndadaye...yani mna roho za kutu kweli nyie watutsi!
 
Kazi imeanza. Hiyo ni trela tu tunasubiri picha lenyewe.

Wote tushiriki kuicheza, usingoje kuchezewa na wenzio! JAMANI HEBU TUFANYE KWELI, NA HILI ZOEZI LIWE ENDELEVU NA LIHUSISHE NCHI YOTE!
Tumezoea kuona wa'Asia' wakisumbuliwa na maafisa uhamiaji kuhusu 'work permits' lakini wahamiaji haramu weusi hawaguswi! kuna haja ya kila mgeni kuripoti kwa balozi wa nyumba kumi kama zamani na kila balozi atakayethibitika kuhifadhi mhamiajii haramu awajibishwe ki'sawasawa'!
 
Sasa wewe ni tutsi from where? Si mlisema interahamwe wapo DRC na ndo mana mnawafuata huko? Na 'sisi' tuliopo TZ kitu gani kimewashinda kuvamia TZ ili mje 'kutusaka'? You are just a loser...keep on dreaming madam. Kama unaona tutsi crackdown ni hot air wait and see mamy..
keep it up with your myopic dream,na vitisho vya kwenye internet with your fake ID kamtishie mkeo and is not working,kama mwanaume kweli weka jina lako then sema Serukamba ni mtutsi sio mtanzania...otherwise is just a hot air and cowardice.
 
Tea party politics hizi,waende tuu and they will be better in Rwanda kuliko kukaa sehemu wanayochukiwa namna hii,Kagame atawapokea kwa mikono miwili waendelee kujenga nchi yao kwenda mbele na hope Rwandese hawata retaliate na huu upuuzi na kuanza kuwatimua watanzania Kigali na biashara zao.

Hivi wewe ndugu huwa husikilizi hata nasaha za BABA WA TAIFA? Mtu akikupa lichupa badala ya almasi yako utalichukua na kujidai kwa 'uelevu' wako? Biashara gani ya kusema ya mTanzania Rwanda itakayofidia wanavyojichotea kwetu na uharibifu wa mazingira wanaotuachia, bila kusahau uvunjifu wa amani wanaotaka kutuletea na ambao tayari walishaleta?
WAENDE SALAMA AU KWA KISWAHILI WANACHOKIELEWA ZAIDI NASEMA: "MPAO!"
 
Wanyarwanda warudi kwao haraka kabla muda haujaisha la sivyo waswagwe kwa nguvu hawana adabu. Wana dharau sana hawa hata kwa wenyeji wao.
 
keep it up with your myopic dream,na vitisho vya kwenye internet with your fake ID kamtishie mkeo and is not working,kama mwanaume kweli weka jina lako then sema Serukamba ni mtutsi sio mtanzania...otherwise is just a hot air and cowardice.

Serukamba is a tutsi! Swallow or throw it up...it is up to you..
 
Usiwatetee bhana...wahamiaji wowote huwa wana-compound insecurity issues sana katika host country.Na hili si kwa Tanzania na Wanyarwanda tu.Waulize wakenya huko Garisa wanavyopata shida na wahamiaji wa kisomali.

Mwambie aende Japan alafu mjapan alalmike tu kwamba mgeni fulani amefanyia a,b,c uone kama utakaa hata masaa katika nchi hiyo.

Waende zao makwao inatosha kama nchi yao imeshajijenga kiuchumi waende wakajenge taifa lao watuachie la kwetu. ukitaka kuwajua hawa jamaa ebu jaribu kutembelea zile kambi za wakimbizi ndio utagundua sio watu wakuwa chekea hawa.
 
Lakini si tunaambiwa kua Rwanda kuna maisha mazuri kuliko Tanzania iweje sasa wahangaike kwenda Dar,Arusha na Mikoa mingine badala ya kwenda kwao kwenye maisha mazuri?
Hata wakimbilie wapi tutawanasa tu maana hawa jamaa wako tofauti sana na sisi!! akijidai kuwa ni Maasai tutawakamata maana Kimaasai hakifanani na Kihima. Salama yao labda wakimbilie mbinguni lakini hapa TZ watakamatwa tu!! Eti ooh Kagame kapiga kazi mpaka nchi yake iko juu kuliko TZ! Wapi bwana, mbona jamaa wanaendelea kukimbilia mbali mwishowe watajikuta wako Zambia hawa!!
 
Source: RAIS KIKWETE AWAPA WANYARWANDA SIKU 14 ZA KUONDOKA TANZANIA. ***MAMIA WAANZA KUREJEA RWANDA - Peruzibongo

Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku 14.


Aidha, imeelezwa kuwa kumekuwapo ongezeko la askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani Kagera hasa wilayani Ngara hali inayozua hofu kwa baadhi ya wananchi, huku ikiongeza msukumo kwa wahamiaji haramu kuondoka.




Akiwa katika ziara mkoani Kagera, Rais Kikwete alitoa agizo la kuwataka wote waliokuwa wakiishi nchini kinyume cha sheria waondoke mapema jambo lililotakiwa kuanza kutekelezwa Julai 29 na kukamilika Agosti 10 mwaka huu.




Alisema kuwa wahamiaji haramu na wale wanaoendesha ama kuhusika na ujambazi, uhamiaji haramu na uingizaji haramu wa mifugo waamue kuchukua hatua mwafaka za kuondoka mapema kabla vyombo vya ulinzi na usalama kuanza operesheni maalumu ya kuwasaka.




Tayari idadi kubwa ya wafugaji wenye makundi ya ng’ombe imeanza kuondoka kuelekea eneo la mpakani la Rusumo kutoka ardhi ya Tanzania ikiwa ni utekelezaji wa agizo hilo la Rais Kikwete.




Akizungumza na Mwananchi Jumapili kwa njia ya simu, Mkuu wa Wilaya ya Ngara, Costantine Kanyasu alisema kwamba idadi kubwa ya wafugaji waliokuwa wakiishi kinyume cha sheria, imeitikia wito wa agizo la Rais na kuanza kuondoka kwa hiyari yao.




Hata hivyo, alisema kuwa pamoja na idadi kubwa ya wahamiaji kuanza kuondoka, bado wapo ambao hawajaondoka kutokana na kudai kuwa na vibali walivyovipata kutoka Ofisi ya Uhamiaji na kubainisha kwamba vibali hivyo vitakaguliwa kwa umakini wakati wa operesheni maalumu ili kujua uhalali wake.




“Jambo hili la wahamiaji haramu lilikuwa kero kubwa, siyo tu kwa Wilaya ya Ngara, bali mkoa mzima wa Kagera, lakini tunashukuru sasa wameanza kuondoka, wamebaki hao wenye vibali. Ni lazima vibali hivyo tutavikagua maana vipo vilivyotolewa kinamna,” alieleza Kanyasu.




Alionya kwamba jukumu la kuwaondoa kwa nguvu wahamiaji haramu pamoja na wafugaji linasubiri muda wa mwisho ili kuanza kutekelezwa kama Rais Kikwete alivyoagiza.




Hofu ya Wanajeshi kuongezeka


Akizungumzia suala la wanajeshi kudaiwa kuongezeka wilayani Ngara, Kanyasu alisema kwamba katika wilaya yake kuna kikosi cha dharura kinachokaa katika moja ya kambi za JWTZ kikikuwa na idadi kubwa ya askari lakini wananchi hawakuwa na taarifa nacho ila kutokana na sababu za kiusalama.



“Unajua kuna kelele za hapa na pale na haya majibizano yanayotokea baina ya Rwanda na Tanzania. Haya ni kama yamewastua watu na kudhani kuwa askari wetu wa Kikosi cha Dharura waliopo hapa Ngara wameletwa maalumu kutokana na tahadhari,” alisema na kufafanua kuwa askari hao wapo siku zote kwa ajili ya kulinda mipaka ya Tanzania.


Hata hivyo, mkuu huyo wa wilaya aliwataka wananchi kutulia na kutoa ushirikiano kwa jeshi hilo.

Rais Kikwete aliagiza operesheni hiyo ya kuwaondoa wahamiaji haramu ifanyike katika Mikoa ya Kigoma, Kagera na Geita kwa wakati mmoja ikisimamiwa na vyombo vya ulinzi na usalama yaani JWTZ, Polisi, Usalama wa Taifa na Uhamiaji akiwaonya wahalifu kuwa hapatakuwa na mahali pa kukimbilia wala kujificha.
 
Back
Top Bottom