Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaonea huruma ambao walisha oa/olewa na watanzania na wana watoto, lakini ndiyo hivyo itabidi watusamehe tu dah!! Hii operation iwe endelevu na tukimalizana na hawa tuendelee na wahabesh Somalia/Ethiopia/Eritrea huku wahindi na wapakistan wakijiandaa nao kwa zamu yao.
Juzi Nilianza safari
kutoka Kahama kwenda mji mdogo wa Benaco wilayani Ngara mkoani Kagera.
Nilikuwa ktk usafiri wa public katika mji mdogo wa ushirombo traffic
alisimamisha coaster yetu na kumwambia dereva Kuwa "jumamosi ndo mwisho
wako kwenda Kahama tukikuona tutajua la kufanya" alikuwa na asili ya
kinyarwanda.
baada ya kufika Benaco hali ilikuwa tete warundi na baadhi ya
wanyarwandwa wakiwa katika misururu mithili ya watumwa enzi zile.Hakika
Tamko la Kikwete wahamiaji haramu wamekiona cha mtema kuni.
Kila sehemu za kijiwe mjadala ni huo wa kuondoka wanyarwanda mji wa
Benaco na Ngara ni moja ya sehemu zilizo na wahamiaji haramu wengi sana.
Wahangaza wa Ngara na wanyambo wa Karagwe wanawazodoa wanyarwanda
waishio ktk maeneo hayo.
Wamefikia hatua ya kutishiana Kuwa tarh 10 Aug ndo deadline subirini
Mje muone tutakacho wafanya baada ya hiyo tarehe.
Nimeweza pia kushudia jinsi gari zinavyopkia abiria wanoitwa wahamiaji
haramu kutoka Karagwe kurudi Rwanda na Burundi.
Leo nimefika wilayani Karagwe gumuzo ni Hilo tu Watusi sasa wanauza
mifugo Yao kwa bei chee na kurudi rwanda wengine wasubiri hadi Cku ya
mwisho waone nini kitatokea dhidi Yao. Wenye peas zao wameanza kununua
n'gombe kutoka kwa wanyarwanda kwa fujo kutokana na kile wanachodai
"hili Tamko la JK ni Tamko la Neema kwa wazawa"
Wengi wao wanaondoka kwa kulaani vikali kauli ya Kagame ilivyowageukia
wao, wanasikitika sana na kusema bora aombe radhi kwa matamshi, kejeli
na matusi aliyomtukana JK. Kwani ndo vilivyo wafikisha hapo walipo.
wenyeji wa mipikani wanasema Rwanda ipo Karibu kuingia ktk machafuko ya
wenyewe tena na safari hii chanzo kitakuwa ni ardhi." Sikia bro mamia ya
hawa wanaondoka Kilasiku wataishi wapi huko rwanda? ardhi hawana na
kagame alishasema ni marufuku kufuga ngombe zaidi ya sita" alisikika
kijana akisema,. Lakini wapo wabishi wanasema Kuwa operation ikianza wao
watatokomea polini na n'gombe zao.
Asubuhi ya Leo nilikuwa ktk mji wa kayanga nikajaribu kujichanganya
kwenda kijiwe cha kahawa, gumuzo ni Hilo tu. afande m1 alisikika akisema
ngoja jp mpaka ufungwe halafu tuanze kutafutana.
Macho yetu liwalo na liwe, nasikia ni operation itakayo jumuisha
taasisi tatu, Jwtz, police na uhamiaji.
kwa wakenya sisi tutaumia maana watanzania ni wengi sana kenya wanafanya biashara ndogo ndogoGoood move, natamani msako mwingine special for kenyans illegal immigrants utangazwe soon. Kuna mtu anaitwa nairobery ananikera sana!
Juzi Nilianza safari kutoka Kahama kwenda mji mdogo wa Benaco wilayani Ngara mkoani Kagera.
Nilikuwa ktk usafiri wa public katika mji mdogo wa ushirombo traffic alisimamisha coaster yetu na kumwambia dereva Kuwa "jumamosi ndo mwisho wako kwenda Kahama tukikuona tutajua la kufanya" alikuwa na asili ya kinyarwanda.
baada ya kufika Benaco hali ilikuwa tete warundi na baadhi ya wanyarwandwa wakiwa katika misururu mithili ya watumwa enzi zile.Hakika Tamko la Kikwete wahamiaji haramu wamekiona cha mtema kuni.
Kila sehemu za kijiwe mjadala ni huo wa kuondoka wanyarwanda mji wa Benaco na Ngara ni moja ya sehemu zilizo na wahamiaji haramu wengi sana. Wahangaza wa Ngara na wanyambo wa Karagwe wanawazodoa wanyarwanda waishio ktk maeneo hayo.
Wamefikia hatua ya kutishiana Kuwa tarh 10 Aug ndo deadline subirini Mje muone tutakacho wafanya baada ya hiyo tarehe.
Nimeweza pia kushudia jinsi gari zinavyopkia abiria wanoitwa wahamiaji haramu kutoka Karagwe kurudi Rwanda na Burundi.
Leo nimefika wilayani Karagwe gumuzo ni Hilo tu Watusi sasa wanauza mifugo Yao kwa bei chee na kurudi rwanda wengine wasubiri hadi Cku ya mwisho waone nini kitatokea dhidi Yao. Wenye peas zao wameanza kununua n'gombe kutoka kwa wanyarwanda kwa fujo kutokana na kile wanachodai "hili Tamko la JK ni Tamko la Neema kwa wazawa"
Wengi wao wanaondoka kwa kulaani vikali kauli ya Kagame ilivyowageukia wao, wanasikitika sana na kusema bora aombe radhi kwa matamshi, kejeli na matusi aliyomtukana JK. Kwani ndo vilivyo wafikisha hapo walipo.
wenyeji wa mipikani wanasema Rwanda ipo Karibu kuingia ktk machafuko ya wenyewe tena na safari hii chanzo kitakuwa ni ardhi." Sikia bro mamia ya hawa wanaondoka Kilasiku wataishi wapi huko rwanda? ardhi hawana na kagame alishasema ni marufuku kufuga ngombe zaidi ya sita" alisikika kijana akisema,. Lakini wapo wabishi wanasema Kuwa operation ikianza wao watatokomea polini na n'gombe zao.
Asubuhi ya Leo nilikuwa ktk mji wa kayanga nikajaribu kujichanganya kwenda kijiwe cha kahawa, gumuzo ni Hilo tu. afande m1 alisikika akisema ngoja jp mpaka ufungwe halafu tuanze kutafutana.
Macho yetu liwalo na liwe, nasikia ni operation itakayo jumuisha taasisi tatu, Jwtz, police na uhamiaji.
Kama vipi waelekee Uganda kwa binamu yao M7 kama kwa M23 hakuna nafasi..