Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,133
Dem wangu mnyarwanda sasa na mwez wa 10 nilipanga ndoa. Sasa jk togwa ananitilia inzi daaaahhh
Hatuna tatizo naye! Wewe ni Mtanzania unajua SIRI ndani Ya Utanzania! Wewe ni Mzalendo na mpenda Utaifa wake. Akupende na kuamini kile unacha amini .. All will be-Settled.
AMRI YA USALI NI HII!!
UKILETA UHAINI TU! Watakutafuta Mbinguni, Jehanam na Duniani hutapatikana KWANI-UTANZANIA-SIO KITU CHA KUSALITIWA AU KUFANYIWA MCHEZO!!! NA HILI LIKAE VICHWANI MWA WATU MAPEMA KABISA!!!!
Usaliti na uhani kwa Utanzani ni Jambo lisilokubalika katika hali yeyote na hii ni kulingana na chemistry yote ya uasisi wa Taifa hili. Usaliti haukubaliki Mtu akiwa hai au akiwa Mfu!! Drill this-message-to her mind and she is fine we all Love Her!-
Tunaimba kila siku Mungu Aibari Tanzania ... , Akuimbie ukiwa unamtizama Machoni uone kama ana Dhati ya matamshi na sauti!!