Mkuu kweli mtikila siyo chizi kunamambo husema kweli tujenge utamaduni wa kuwaamini watu wote na kuchunguza wanayosema.Hao watu wamevumiliwa sana hapa Tanzania. Kumbe Mtikila pamoja na "wazimu" wake kuna vitu anaongea vina maana sana. Juzi juzi kasema kuna Wanyarwanda zaidi ya 30,000 hapa Tanzania. Sasa imekuwa dhahiri. Waondoke tu wakapambane na Kagame wao huko kwao.
Safari hii wakianza kupigana wasiingie tena Tz japo najua sheria za kimataifa kuhusu wakimbizi itatubana kwani lazima wapokelewe. Dawa ni JWTZ kuingia kwao na kuwatengenezea kambi ndani ya nchi yao.