Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sio kila mwenye asili ya kitusi au kihutu basi sio raia wa Tanzania, tuwe makini vinginevyo itakuwa ni ubaguzi tu kwa binadamu kwa kisingizio cha asili yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha nilijua hawaweazi kukosekana watu kama nyinyi,,, mmh mtakuja kufa ooooh mmesha ambiwa kuwa kwa raia yeyote alie funga ndoa na mhamiaji haramu basi ndoa ndio mwisho wakeHapo unaweza hata kumpata hata dem wa bure ukasepa naye huku kusini.
Kikwete anatupiganisha na raiya wa rwanda vita baridi.
Raia wa rwanda wanawaua wa Congo kwa kupigania madini yasiyokuwa ya kwao.
Mkuu, humu JF kuna watu wengi sana ambao wanawajua hawa Wanyarwanda, embu ulizia unyama wanaoufanya mkoani Kagera au waweza kutafuta yale maneno aliyoyasema Mheshimiwa Rais pale Kagera kuhusu hawa wakimbizi. Unajua kinachoendelea CONGO??? Unajua nani ni mhusika?
Hakika watajutia, narudia kusema hawamjui JK.
Hakika hatowaacha wala kupindua kauli yake.
Una uhakika ni love au revange?
Sio kila mwenye asili ya kitusi au kihutu basi sio raia wa Tanzania, tuwe makini vinginevyo itakuwa ni ubaguzi tu kwa binadamu kwa kisingizio cha asili yake.
Sio kila mwenye asili ya kitusi au kihutu basi sio raia wa Tanzania, tuwe makini vinginevyo itakuwa ni ubaguzi tu kwa binadamu kwa kisingizio cha asili yake.
Hao watu wamevumiliwa sana hapa Tanzania. Kumbe Mtikila pamoja na "wazimu" wake kuna vitu anaongea vina maana sana. Juzi juzi kasema kuna Wanyarwanda zaidi ya 30,000 hapa Tanzania. Sasa imekuwa dhahiri. Waondoke tu wakapambane na Kagame wao huko kwao.
Safari hii wakianza kupigana wasiingie tena Tz japo najua sheria za kimataifa kuhusu wakimbizi itatubana kwani lazima wapokelewe. Dawa ni JWTZ kuingia kwao na kuwatengenezea kambi ndani ya nchi yao.
Watz tunasifika kusafirisha madawa ya kulevya je umesikia nchi ambayo inawafukuza?
Kinachompa Kagame Kiburi ni Watu wake aliowatanguliza Ndani ya Nchi yetu, tumekuwa nao tangu darasa la kwanza, sekondari, JKT , chuoni , polisi, makabi ya ukimbizi, jeshini na makazini nk!
Wanasubiri tu apige Bigula la Kinywaranda Watugeuke na kutimiza UPUUZI waliopanga siku nyingi dhidi ya Taifa Letu!
Wanafikiri tumelala! Tunawajua wote na kama utitiri wagundueni kwa kila post wanayotuma hapa! Kwa mbali wanatunyongonyeza na kutudhalilisha kwa vijisababu vya kinjigina kwanini tusifanye lile lillilo sahihi.
Ushindi Kwetu ni hakika na wazi Maana Kilicholijenga Taifa Tanzania ni Tofauti kama giza na mwanga na kile Kilichojenga Taifa la Rwanda! Utanzania ni Kitu KITAKATIFU!!!
Watanzania amkeni ... !!! Adui yuko ndani ya nchi Tayari Muda si mrefu ataungana na adui atakaye jitokeza mpakani!!