Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe umeongea vizuri na kuelewesha vizuri. ubarikiwe.asante.
lakin wengine wanatukana tu
Mji wa Biharamulo umeanza kutoa matangazo kwa kutumia magari vijijini kuwaomba Wanyarwanda kuanza kuondoka nchini.
1. Bei za ng'ombe zimeshuka kwa 50% ikizingatiwa Rwanda walishaondoa marufuku ya kuingiza ng'ombe
2.majumba wamewakabidhi baadhi ya ndugu na marafiki wa Kitanzania.
3. Wengine wameaanza kukimbilia Arusha , Dar es salaam na mikoa ya pembezoni mwa Kagera.
Hii ni kutokana na agizo la raisi alilojionea .
Baada ya kushitushwa na escort kubwa ya magari na silaha nzito kuvuka pori la Kasindaga /Burigi Kagera na kuona baadhi ya makundi ya ng'ombe ya Wahima kutoka Rwanda.
Ingawa baada ya kuwaoji wengine wamehusisha na kutokuwepo na mahusiano mazuri bana ya Kagame na Kikwete kuwa ndo sababu ya kurudishwa Rwanda.
Kwani walipanga kukaa Tz milele?
Au walikua wanangojea mradi wa vitambulisho ili wajiandikishe?
Mtu kwao bhana wahenga walisema.
Dar ni wengi mno, watengeneze
mechnism ambapo wananchi watapata fursa ya kuwataja wahamiaji haramu.
Wakenya wengi sana wapo hapa, hata wazungu pia. Wanafanya kazi bila
vibari
All people are equal. Vyote tumevikuta.
waondoke kesho naelekea Ngara nitawahimiza kuondoka.
Ni vyema Tz tukachukua hatua, ili tusije tengeneza M23 wa Kesho ndani ya Ardhi yetu, Kama wafanyavyo sasa M23 Walioko Congo !!
mim ni mtanzania ni vile unijui. pia ni mtetezi wa haki za binadamu.najua awa wageni wanavyopata shida ndio maana ata clinton aliamua kuwapata visa ya miaka 10 kwa kila mnyarwanda anaoingia marekan adi leo.
na kama mnafanya kupunguza ujambaz hao raia wanaowaibia pesa kila siku kwa kutumia pikipik ni wagen pia! !
mim ni mtetez wa haki za binadamu. na shirika langu liko DC
Niliwai kusema kuwa kimya kingi cha Kikwete kina mshindo, sasa alichokifanya Kikwete ni kum-overtake Kagame kwa kasi zaidi.
Ni vyema Tz tukachukua hatua, ili tusije tengeneza M23 wa Kesho ndani ya Ardhi yetu, Kama wafanyavyo sasa M23 Walioko Congo !!
Hakuna ubaya nchi yeyote to enforce sheria za uhamiaji au kulinda mipaka yake,lakini when you start discriminatory kutumia hizo sheria kwa watu fulani to score a political point that is a big problem,its obvlious hii ni matokea ya differences ya Kikwete na Kagame,politics za visasi na crackdown kama hizi ni very dangerous na mnaoshangilia hili the same politics na crackdown zinaweza kutumika kuwanyamazisha nyie(infact zimeshatumika),na hii nafikiri sio nzuri kwa EAC na inaweza ukawa msumari kwa uhusiano wa TZ na Rwanda,i hope Rwanda wataichukulia vizuri na kuona ni internal issue ya TZ na sheria zao za uhamiaji...la sivyo itakuwa another step to RIP EAC.