Naamini wanyarwanda watajutia mifugo yao, wamejazana wakifuga maeneo ya vijiji vya Mavota, Nyakayenze, Nyakanazi, Nyantakara, Msalabani,Lusahunga, Runzewe, Nyampalahala...vyote vyapatikana wilayani Biharamulo. Na wanachungia mifugo yao katika pori la hifadhi la Biharamulo japo siku hizi Maliasili wameweka kambi hapo walau imepunguza kasi zao.
Kagame alisahau ihsaan zote na uhuru waliofanyiwa na Tanzania.
Kahama na Mwanza pia wamejaa, ningeshauri uhamiaji wangeanza kusimamisha mabasi na kufanya ukaguzi.
Pale Dar (Ukonga na Kitunda) pia wametapakaa sana, nawajua wengi sana eneo hilo na wamejiimarisha kwa kujenga.
Ukiingia mgodi wa Tulawaka, kwa wale vibarua wanaojishughulisha pale wengi wao ni Wanyarwanda. Wanaoongoza kwa uporaji na kuuliwa na askari wa mgodi huo...wengi wao ni wanyarwanda.
Wanaoongoza utekaji magari na hasa mabasi eneo la mkoa wa Kigoma, Kagera na Geita...ni wanyarwanda. Nimeyashuhudia hayo.
Pale Katoro, wanaoongoza kujishughulisha na pilika za biashara wapo wanyarwanda wengi tu pale. Ukienda kwenye mgodi wa Nyarugusu na pori lote la hifadhi wa mlima kati ya Katoro-Geita...wanaofugia msitu ule ni wanyarwanda.
Ukienda Ilemela kule wanapouza mbao...wanaoingiza na kusafirisha mbao wengi wao ni Wanyarwanda na nawajua sana.
Ukiwa eneo moja katika kijiji cha Mkunkwa pale wilayani Biharamulo...asilimia 50% ni wanyarwanda.
Serikali ingeomba msaada hapa JF tuwaonyeshe mahali zaidi, au ifungue link maalum tuwape muongozo.