YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana wasahau ya Lowassa
Sasa Kama Hana na wajumbe wengi wanagombea udiwani na ubunge Ina maana akienda waomba hela za kampeni nao watamwambia hatuna kila mtu apambane na hali yake. Wewe Huna za kutupa na sisi hatuna za kukupa