Uchaguzi 2020 Tamko la Lissu kusema hatawapa wagombea CHADEMA pesa litasababisha michango yake idode

Uchaguzi 2020 Tamko la Lissu kusema hatawapa wagombea CHADEMA pesa litasababisha michango yake idode

Unaandika uongo mtupu, bayo maneno sijui umeyaokotea wapi.
 
Hakusema hivyo, mimi sio chadema . Alisema hata lowasa aliyesenwa ana hela nyingi hazikuonekana badala yake wanachama walichangia kampeni
Bora umemwambia huyo mtu muongo. YEHODAYA ni muongo sana na anaweza kudanganya hapa hata jina la mkewe akasema ni Wema Sepetu au Salma Kikwete
 
Ukweli utakuweka huru unapogombea ama kuamua kufanya jambo fulani lazima ujipange kwa rasilimali zako
 
CCM watajikwa kwa Lissu sana mpaka wataaibika mwaka huu.
 
Back
Top Bottom