Kwa hiyo kwa sasa, CCM inafaidi MAHELA ya Lowassa?Huyo mama aliona mbali sana.anajua kabisa ni dhoofi lhali.tangia Lowasa kawaacha wako vibaya sana kiuchumi.
Huyo mama aliona mbali sana.anajua kabisa ni dhoofi lhali.tangia Lowasa kawaacha wako vibaya sana kiuchumi.
Masika ya JF?Hapa Ni hadi kieleweke siki ya uchaguzi hizi Ni mvua tu za rasha rasha masika bado
CCM ina vitega uchumi mpaka nchi za jirani.CCM ilitoa msaada wa kifedha kwa CDM kuwatoa jela wale wanyanyembe.Kwa hiyo kwa sasa, CCM inafaidi MAHELA ya Lowassa?