900 Itapendeza zaidi JF-Expert Member Joined Nov 19, 2017 Posts 7,704 Reaction score 9,186 Aug 5, 2020 #21 mpaka sasa jpm kashapotea ni mwendo wa Lisu tu
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Aug 5, 2020 #22 Unaandika uongo mtupu, bayo maneno sijui umeyaokotea wapi.
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Aug 5, 2020 #24 Ndumbayeye said: Hakusema hivyo, mimi sio chadema . Alisema hata lowasa aliyesenwa ana hela nyingi hazikuonekana badala yake wanachama walichangia kampeni Click to expand... Bora umemwambia huyo mtu muongo. YEHODAYA ni muongo sana na anaweza kudanganya hapa hata jina la mkewe akasema ni Wema Sepetu au Salma Kikwete
Ndumbayeye said: Hakusema hivyo, mimi sio chadema . Alisema hata lowasa aliyesenwa ana hela nyingi hazikuonekana badala yake wanachama walichangia kampeni Click to expand... Bora umemwambia huyo mtu muongo. YEHODAYA ni muongo sana na anaweza kudanganya hapa hata jina la mkewe akasema ni Wema Sepetu au Salma Kikwete
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Aug 5, 2020 #25 Ukweli utakuweka huru unapogombea ama kuamua kufanya jambo fulani lazima ujipange kwa rasilimali zako
Ukweli utakuweka huru unapogombea ama kuamua kufanya jambo fulani lazima ujipange kwa rasilimali zako
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Aug 5, 2020 #26 CCM watajikwa kwa Lissu sana mpaka wataaibika mwaka huu.
Gerald .M Magembe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,496 Reaction score 1,800 Aug 5, 2020 #27 antimatter said: Dogo, mbona unahangaika Sana na TAL?? Click to expand... Anahangaika naye kwa kuwa Tundu Lissu hampendi, kwa hiyo anakerwa na habari zake.
antimatter said: Dogo, mbona unahangaika Sana na TAL?? Click to expand... Anahangaika naye kwa kuwa Tundu Lissu hampendi, kwa hiyo anakerwa na habari zake.