Mambo na watu
Member
- Jun 18, 2019
- 77
- 123
Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali wanahatarisha amani katika eneo hili wahusika wafuatilie eneo ni National housing mburahati karibu na nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa wa zamani chogo eneo lote mpaka bondeni