Mambo na watu
Member
- Jun 18, 2019
- 77
- 123
Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali wanahatarisha amani katika eneo hili wahusika wafuatilie eneo ni National housing mburahati karibu na nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa wa zamani chogo eneo lote mpaka bondeni
UKIONA INEFIKIA KUTAKA SERIKALI ILIANGALIE jambo hilo ujue njia unazosema zimegonga ukuta ni hali us hatari sanaWabongo bwana. Yaani unaacha kumwelimisha unayemuona akikosea ukisubiri serekali ije kumwelimisha? Kwanini wewe usiwaelimishe?? Watu wanashinda kijiweni wanavuta bangi unadhani wana huo muda wakuona tv au kusikiliza redio kujua kinachoendelea duniani? Wao wanaeaza bangi inapatikana wapi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
wafate waelimishe wavuta bangi kijiweni kwao uone kitachokukutaWabongo bwana. Yaani unaacha kumwelimisha unayemuona akikosea ukisubiri serekali ije kumwelimisha? Kwanini wewe usiwaelimishe?? Watu wanashinda kijiweni wanavuta bangi unadhani wana huo muda wakuona tv au kusikiliza redio kujua kinachoendelea duniani? Wao wanaeaza bangi inapatikana wapi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni lini Bashite alishawahi kutoa tamko na akafuatilia utekelezaji hadi mwisho??Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali wanahatarisha amani katika eneo hili wahusika wafuatilie eneo ni National housing mburahati karibu na nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa wa zamani chogo eneo lote mpaka bondeni
Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali wanahatarisha amani katika eneo hili wahusika wafuatilie eneo ni National housing mburahati karibu na nyumbani kwa mwenyekiti wa mtaa wa zamani chogo eneo lote mpaka bondeni
Nacho sio kingine bali ccm kipenzi Cha wezi, mafisadi,watakatishaji fedha, machangudoa, wauza dawa za kulevya, mateja na mashoga! Nakiamini Sana hiki chama pendwa kwa kuwa kinawajumuisha, kuwaunganisha na hata kuyatetea makundi yote ya kihalifu pindi yanaswapo na mkondo wa Sheria!Hao wacheza kamari wakikamatwa kuna chama fulani kitakuja juu kuwatetea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kudhubutu kwenda, kijiwe cha wavuta bangi ukawelimishe, wale wanasikia la mtu anaefanana nao tu.Wabongo bwana. Yaani unaacha kumwelimisha unayemuona akikosea ukisubiri serekali ije kumwelimisha? Kwanini wewe usiwaelimishe?? Watu wanashinda kijiweni wanavuta bangi unadhani wana huo muda wakuona tv au kusikiliza redio kujua kinachoendelea duniani? Wao wanaeaza bangi inapatikana wapi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo ninapochoka mimiWabongo bwana. Yaani unaacha kumwelimisha unayemuona akikosea ukisubiri serekali ije kumwelimisha? Kwanini wewe usiwaelimishe?? Watu wanashinda kijiweni wanavuta bangi unadhani wana huo muda wakuona tv au kusikiliza redio kujua kinachoendelea duniani? Wao wanaeaza bangi inapatikana wapi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana kazi wanakaa kuvuta bangi? Hao hawataki kazi dar unashidwa hata kujiajiri angalia vijana wa mikoani walivyotapakaa kariakoo wanavyofanya kaziBahati nzuri ninauzoefu wa mitaa hiyo ya mburahati national.
Tatizo la hao vijana ni ukosefu wa ajira pamoja na umaskini.
Embu fikiria familia inaishi kwenye chumba kimoja tu au chumba na sebule vijana wanalala sebuleni, hawana kazi watawezaje kushinda nyumbani.
Matamko mengine yanatolewa kienyeji utafikiria watu wanaishi maisha sawa. Huko mburahati unakuta familia kubwa Sana inaishi kwenye chumba na sebule unakuta vijana wengine wanaenda nyumbani kulala tu mida ya usiku
Unaposikia ukosefu wa ajira kwa vijana ni bomu ndio kama hivi linavyolipuka
Dah kweli tuna janga kubwa zaidi ya Corona hivi dada unafikiria kwa kichwa au kwa kile kiungo[emoji1787][emoji23][emoji2960]Nacho sio kingine bali ccm kipenzi Cha wezi, mafisadi,watakatishaji fedha, machangudoa, wauza dawa za kulevya, mateja na mashoga! Nakiamini Sana hiki chama pendwa kwa kuwa kinawajumuisha, kuwaunganisha na hata kuyatetea makundi yote ya kihalifu pindi yanaswapo na mkondo wa Sheria!
Ushahidi ni kuwa eneo wanalolitumia kucheza kamati ni nyuma ya nyumba ya mwenyekiti wa ccm wa mtaa! Nakipenda kutoka moyoni hiki chama Cha mapinduzi!