Okay...sioni ubaya wowote. Angalau amekiri kuwa kachemsha na kwamba yuko tayari wabunge wenzake wampigie kura ya kuwa au kutokuwa na imani naye....
Heheheheheee...huyu ~ Kuhani ana drama sana...lol
Sasa mada ya ulinzi wa viongozi inahusiana vipi na Pinda....ihihihihihihiiii
Mkuu huyu sio kiongozi .Anacheza na hisia za watu kwa kujifanya kulia ka demu huku akijua amevunja katiba. Wale wazee kule bungeni wanapata nao hisia mbovu eti kiongozi wa juu analia tumsamehe Loh. Kwanza kulia ni weakness na tafsiri yake ni pamoja na kuomba huruma kwa kutumia machozi , au ni cowardness ilifikia upeo wa juu sana . Kutuambia tuvunje katiba au tuishi bila sheria ni otuvu wa nidhamu kwa taifa. Siataki wenzetu Maalbino wauwawe lakini sitaki watakao kamatwa wauwawe na raia au polisi hasa ikiwa ndio executive order ya Pinda. Aifute hiyo order au akwiti.
.......right to the POINT........hii mambo ya kulia lia haiondoi kauli yake ya kutaka watu wauawe..........
.....mnaojadili kwa kumpongeza Pinda sijui mna ajenda gani hapa......maandishi aliyoyaweka MKJJ mwanzoni mwa hii thread........bado hayajatolewa rasmi..........
Nyani Ngabo
Kulia ni udhaifu wa mwisho kabisa mwanaume hutakiwa kuonyesha. Unapolia inaonyesha huna namna nyingine ya kufanya, that is a weakness of first order. Nina wasi wasi Mzee Pinda kulia yeye ndo silaha yake akizidiwa na kitu kidogo anamwaga machozi ili apate sympathy ya jamii...yeye anageamua tu tukusema I was quote out of the context na waandishi uchawara afterall bongo asingefanywa chochote. Ingeishia hewani kama angekomaa. Sasa yeye kulia anaona ni vizuri kuliko kuvunja katiba? Stop crying Pinda stand up common
arrg umekomaa na huu mfano.....una ushahidi gani mchonga alilia?Au unataka kunambia Mwalimu Nyerere alivyolia wakati Sokoine alipokufa kwenye ile ajali ya gari alionyesha udhaifu na akapoteza 'status' yake ya uanamume?
arrg umekomaa na huu mfano.....una ushahidi gani mchonga alilia?
Hakulia alikuwa na mafua....sikiliza hotuba yake ya kutangaza kifo.....
Hakulia alikuwa na mafua....
Mwanaume kulia sio udhaifu na hiyo ni dhana potofu kabisa kama zilivyo dhana zingine zilizo potofu. Eti ni weakness of the first order...puh-leeaase.....kwani wanaume sio binadamu? Kwa hiyo unataka kunambia Jesse Jackson siku ile Obama kashinda uchaguzi kamera ilivyo zoom kwake na kumwonyesha akibubujikwa na machozi alionyesha udhaifu? Na kuna wengine wengi tu siku hiyo waliotoa machozi, waume kwa wake, Marekani na kwingineko duniani.
Au unataka kunambia Mwalimu Nyerere alivyolia wakati Sokoine alipokufa kwenye ile ajali ya gari alionyesha udhaifu na akapoteza 'status' yake ya uanamume?
Au siku ile alipokufa Nyerere, unataka kunambia wale wanaume wote waliolia walionyesha udhaifu? Hebu acha hizo wewe. Mtu kulia hupotezi chochote. Ni namna ingine tu ya kuelezea hisia zako. Haya mambo ya kujifanya mgumu na kuweka front kuwa wewe ni gangwe, kuwa wewe ni mwanaume kwa hiyo hutakiwi kulia, ni dhana potofu na mbaya kabisa.
Yeap:
Watu wana njia nyingi za kueleza emotions zao na moja wapo ni kulia. Na wanaoshindwa kueleza emotions zao wakati mwingine upatwa na matatizo mbalimbali kama kufyatuka akili au magonjwa ya moyo.
Sijuhi Pinda akiacha kulia itabidi afanye nini? avute bangi?
Inasikitisha sana na kuudhi sana unapoona binadamu mwenzako anafanyiwa unyama wa kiasi kile hapo ile kile cheo chako kinashuka unakuwa mtu w akawaida nikiwa na maana unaweza kujisahau na kufanya mambo ya ajabu.
Kumbe hujasikia tape yake akita hotuba....gonga hapa
PRICELESS!
FYI zile picha ziko saved somewhere else naleta links tu hapa.
Huwezi jua labda bado niko junior high.