PRICELESS!
FYI zile picha ziko saved somewhere else naleta links tu hapa.
Huwezi jua labda bado niko junior high.
Unaweka links? Bandwidth inatumika nonetheless!!!
For my information, Icadon? Are you sure? For my information?
Bandwidth ni kipimo cha kasi ya mpitisho, usafirisho, wa data. Inapimwa na bits per sec. Kila tunapofungua link ya kitu kilichoko kwenye server nyingine kuna mpitisho unatokea. Japo permanent storage (inayopimwa kwa bits) inabaki huko kwingine, unapofungua link bandwidth inatumika just as well!
Halafu nakubali ni kweli unaweza kuwa junior high, after all unasema Pinda kulia ni sawa kwa sababu hata Bush analia. You can be or wish to be in junior high all your life and ruminate on and on about your proclivities that arouse excitement at a junior high yard, but the thing is, hatuko yard ya junior high hapa.
Na kama ni kweli uko junior high nashangaa hamjaanza kutumia computer mpaka leo, maana ungejua maana ya bandwidth toka utotoni, na usingekurupuka kurusha kidongo kuhusu bandwidth wakati hujui maana yake. Unless tunaongelea "junior high" za St. Mary's Mbagala au Tabora Girls.
Na wewe STEVED nilifikiri uko computer basics-savvy maana huwa una volunteer ku-upload PDFs halafu na wewe unaenda kutiatia vi-thanks kwenye bandwith comment inayosema link hai-consume bandwidth!
Nilipotumia illustration ya wild animals na non-human like behaviors ilikuwa ni kukuonyesha kwamba just because you
have a right, it does not follow that
you are right in exercising it willy nilly. Pinda kaleta hulka ya Magharibi ya kujiliza liza kwenye podium unapokumbwa na kashfa. Watanzani hatuna!