"Tamko la Pinda"

"Tamko la Pinda"

Pinda amekiri na naungana nae kabisa kuwa amekuwa Muungwana na kujenga imani kwa WaTanzania kuwa alichosema ni kweli kilisemwa nae.Pia nimefarijika kuona amerudi na kuifuta kauli yake ,kwa ufupi amezidisha mapenzi kwa WaTanzania,ila mapenzi yatazidi ikiwa atarudi kwa muangaza mwengine ambao utafuta kabisa mauaji ya Albino ,elimu anayo na uwezo pia anao.
Hayo ni ya Mh.Pinda.
Ila huyu Mkwere mpiga mirunzi nae ametenda kosa kama hilo kwa kusema ataenda kuwatesa watu wa Zanzibar 2010 ,nae vipi hebu angalieni maneno yake.

Mhishimiwa Rais anasema:
"Nasema mwaka 2010 tutatesa" "hatuna sababu ya kushindwa", maendeleo yaliofikiwa ni makubwa ninafurahi kuwa tulioyaahidi tumeyatimiza na mengine tutayatekeleza bado tunaendelea," alisema.

"Nasema mwaka 2010 tutatesa"

Si dhani kuwa neno "kutesa" ni lenye kwendana na kanuni (sharia). WanaJF mnaojua sheria mnaweza kutupa maelezo kisheria kuhusiana na utawala wa sheria.
 
Ahaaa! Sasa nimesikiliza hiyo sijui hotuba au maelezo yake bungeni. Kwa jinsi watu mnavyoiweka hapa ni kama vile Pinda alikuwa analia (bawling) uncontrollably. Hapana, Pinda alikuwa choked up. Kuna tofauti kubwa sana kati ya ku choke up na ku bawl.

Sasa watu wengine hapa mnafanya ionekane kama vile Pinda alibubujikwa na machozi. Hapana bana. Kwangu kulia sio hoja hata kidogo. Hoja na kilicho cha msingi hapa ni hatua gani za dharura zilizochukuliwa kukomesha unyama huu.

Mmekuwa so caught na huko so called kulia hadi mmesahau yaliyo ya muhimu. Kwa mfano, ni waziri yupi hasa anayehusika moja kwa moja na usalama wa wananchi? Yeye katoa tamko gani?

Kosa la Pinda sio kuzidiwa na hisia bungeni. Kosa lake ni kauli alizotoa. Na kama bado hajazikana (kuzifuta hawezi kwa sababu keshazitoa) na kuomba radhi, basi hapo mimi nalia naye mpaka kieleweke.
 
baada ya kumsikiliza unafikiri alijibu swali.. ukisikiliza vizuri ameomba radhi kwa kusema

"kama Watanzania wanaona uovu niliousema ni mkubwa kuliko uovu unaofanywa naomba samahani. Mungu anisamehe lakini nia yangu ilikuwa nzuri kabisa"!
 
Mwanaume kulia sio udhaifu na hiyo ni dhana potofu kabisa kama zilivyo dhana zingine zilizo potofu. Eti ni weakness of the first order...puh-leeaase.....kwani wanaume sio binadamu? Kwa hiyo unataka kunambia Jesse Jackson siku ile Obama kashinda uchaguzi kamera ilivyo zoom kwake na kumwonyesha akibubujikwa na machozi alionyesha udhaifu? Na kuna wengine wengi tu siku hiyo waliotoa machozi, waume kwa wake, Marekani na kwingineko duniani.

Au unataka kunambia Mwalimu Nyerere alivyolia wakati Sokoine alipokufa kwenye ile ajali ya gari alionyesha udhaifu na akapoteza 'status' yake ya uanamume?

Au siku ile alipokufa Nyerere, unataka kunambia wale wanaume wote waliolia walionyesha udhaifu? Hebu acha hizo wewe. Mtu kulia hupotezi chochote. Ni namna ingine tu ya kuelezea hisia zako. Haya mambo ya kujifanya mgumu na kuweka front kuwa wewe ni gangwe, kuwa wewe ni mwanaume kwa hiyo hutakiwi kulia, ni dhana potofu na mbaya kabisa.

Mkuu nimegundua unapenda sana kulia kama Pinda....
 
Unaweka links? Bandwidth inatumika nonetheless!!!

For my information, Icadon? Are you sure? For my information?

Bandwidth ni kipimo cha kasi ya mpitisho, usafirisho, wa data. Inapimwa na bits per sec. Kila tunapofungua link ya kitu kilichoko kwenye server nyingine kuna mpitisho unatokea. Japo permanent storage (inayopimwa kwa bits) inabaki huko kwingine, unapofungua link bandwidth inatumika just as well!

Halafu nakubali ni kweli unaweza kuwa junior high, after all unasema Pinda kulia ni sawa kwa sababu hata Bush analia. You can be or wish to be in junior high all your life and ruminate on and on about your proclivities that arouse excitement at a junior high yard, but the thing is, hatuko yard ya junior high hapa.

Na kama ni kweli uko junior high nashangaa hamjaanza kutumia computer mpaka leo, maana ungejua maana ya bandwidth toka utotoni, na usingekurupuka kurusha kidongo kuhusu bandwidth wakati hujui maana yake. Unless tunaongelea "junior high" za St. Mary's Mbagala au Tabora Girls.

Na wewe STEVED nilifikiri uko computer basics-savvy maana huwa una volunteer ku-upload PDFs halafu na wewe unaenda kutiatia vi-thanks kwenye bandwith comment inayosema link hai-consume bandwidth!

Nilipotumia illustration ya wild animals na non-human like behaviors ilikuwa ni kukuonyesha kwamba just because you have a right, it does not follow that you are right in exercising it willy nilly. Pinda kaleta hulka ya Magharibi ya kujiliza liza kwenye podium unapokumbwa na kashfa. Watanzani hatuna!

Uhuhuhuhuuuuu...ooohohohohooooo...ebana Steve naona jamaa ka-kumind ulivyotoa "thanks" kwa Icadon....ihihihihihiii...he (she) is very sensitive today so be careful not to hurt his (her) feelings again...
 
Nilipotumia illustration ya wild animals na non-human like behaviors ilikuwa ni kukuonyesha kwamba just because you have a right, it does not follow that you are right in exercising it willy nilly. Pinda kaleta hulka ya Magharibi ya kujiliza liza kwenye podium unapokumbwa na kashfa. Watanzani hatuna!

Watanzania hatuna.. now there is the hypebole. Sasa Pinda siyo Mtanzania. Uandishi mwingine crummy and cheezy.
 
Nimesema toka jana, sijui juzi, kwamba Pinda ndio kaanzisha!!

Watanzania huwa hatuna hulka ya kujilizaliza kwenye podium tukikumbwa na public firestorm. Again, nimesema four hundred times, Pinda ndio ana set precedent!

He is erratic. Hana emotional steadiness or the judgment to hold office of Prime Minister.
 
Hili ndilo linanisumbua hivi WM anafikiri yeye ni Mtanzania pekee aliyewaona hawa ndugu zetu waliotendewa vitendo hivi? Au anafikiri kuwa yeye ndiye mtu pekee mwenye hisia za uchungu kuhusu mauaji haya? Suluhisho analolipendekeza ambalo hajalifuta au kuliondoa halisaidii kupunguza mauaji ya Albino.

Tatizo la mauaji ya albino halichochewi na ushirikina!! Hili ni kukwepa tatizo hasa na kutoa pendekezo la kweli na kuchukua hatua madhubuti. Kwa kadiri wanafikiri suala hili ni la ushirikina ndivyo solutions zao zitakuwa hivi hivi na sitoshangaa wakati tunapiga kelele hapa tukasikia albino/maalbino mengine wameuawa just to spite us.

UNTIL WE CHANGE THE ODDS TO ALBINO'S FAVOR WE WILL LOSE THIS WAR.

Vilevile hili suala ni lazima tuliangalie kijamii. Hili tatizo sio limetambaa nchi nzima. Kuna Epicenter ya matatizo haya. Je jamii katika sehemu hizo zinafanya juhudi gani kutatua matatizo hayo ???
 
Nimesema toka jana, sijui juzi, kwamba Pinda ndio kaanzisha!!

Watanzania huwa hatuna hulka ya kujilizaliza kwenye podium tukikumbwa na public firestorm. Again, nimesema four hundred times, Pinda ndio ana set precedent!

He is erratic. Hana emotional steadiness or the judgment to hold office of Prime Minister.

Ume scour Tanzania nzima na kuhitimisha kwamba Pinda ndio kaanzisha? Mijitu mingine bana...
 
Nimesema toka jana, sijui juzi, kwamba Pinda ndio kaanzisha!!

Watanzania huwa hatuna hulka ya kujilizaliza kwenye podium tukikumbwa na public firestorm. Again, nimesema four hundred times, Pinda ndio ana set precedent!

He is erratic. Hana emotional steadiness or the judgment to hold office of Prime Minister.

Unajua kilichomfanya Pinda azidiwe na hisia ni nini? Ni alichokiona kuhusiana na ma albino au ni utata ulioanza kutokana na kauli zake? Kama hujui usiseme kama vile una mamlaka! Hivi wewe ukoje?
 
Nimesema toka jana, sijui juzi, kwamba Pinda ndio kaanzisha!!

kwamba katika utafiti wa Watanzania wote ni yeye wa kwanza kulia hadharani kati ya wanaume.

Watanzania huwa hatuna hulka ya kujilizaliza kwenye podium tukikumbwa na public firestorm.

Watanzania wangapi wamekumbwa na firestom na wakapata public podium? ili tulinganishe.

Again, nimesema four hundred times, Pinda ndio ana set precedent!

I don't think so. Hakuna precedent ya kulia duniani iwe hadharani au mafichoni. Mtu hulia anapolia.

He is erratic. Hana emotional steadiness or the judgment to hold office of Prime Minister.

wrong. Si kwa sababu ya kulia! Kulia hakuoneshi character ya mtu au emotional steadiness. Inaonekana hujasumbuliwa na kile anachodaiwa kusema unasumbuliwa na yeye kulia.
 
Vilevile hili suala ni lazima tuliangalie kijamii. Hili tatizo sio limetambaa nchi nzima. Kuna Epicenter ya matatizo haya. Je jamii katika sehemu hizo zinafanya juhudi gani kutatua matatizo hayo ???

tatizo hili lina impact nchi nzima, siyo tu kuwa lina epicenter.. chora ramani ya mauaji ya albino utashangaa.. lakini hilo dogo. Implication ya kuendelea kwake ni dire kwa taifa zima. So, hatuwezi kulireduce to local areas. Hili ni suala la kitaifa.
 
kwamba katika utafiti wa Watanzania wote ni yeye wa kwanza kulia hadharani kati ya wanaume.

Watanzania wangapi wamekumbwa na firestom na wakapata public podium? ili tulinganishe.

I don't think so. Hakuna precedent ya kulia duniani iwe hadharani au mafichoni. Mtu hulia anapolia.

wrong. Si kwa sababu ya kulia! Kulia hakuoneshi character ya mtu au emotional steadiness. Inaonekana hujasumbuliwa na kile anachodaiwa kusema unasumbuliwa na yeye kulia.

Hahahahaha...now I see why you graduated Summa Cum Laude at the you know who Institute of Advanced you know what because you have talent on loan from God only...ahahahahahaaaa
 
and "I'm doing this with half of my brain tied behind my back just to make it fair!" Our institute is doing very so far my fellow student.
 
...Nampongeza waziri Mkuu kwa ujasiri aliouonyesha. Huhitaji kuishi na mtoto/mtu mwenye Albinism kutambua machungu na kadhia ya mauaji ya hao Albino...

Mtoto George Bush wa Chato ambaye amechukuliwa na familia ya Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda kwa ajili ya kumlea maisha yake yote mpaka atakapojitegeme,Pichani ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akiwa na mtoto huyo kwenye moja ya ziara zake na Mheshimiwa Waziri Mkuu.Kwa niaba ya wadau wote tunapenda kumpa pongezi mheshimiwa waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa Ukarimu wake huu.

habari kwa niaba ya haki-hakingowi.
 
Sidhani kama Pinda alilia kwa bahati mbaya...Inawezekana ni ka usanii flani hivi...Wapinzani wawe makini otherwise inaweza ku backfire kwasababu issue ya Albino imewagusa watanzania sana na kama kulia wamelia wengi na kama maneno kama aliyosema Pinda ambayo ni ya ku wish kuwa wauwaji hao nao wakikutwa wanafanya mauwaji hayo nao wauwawe ni maneno ambayo nadhani yemeshasemwa na watanzania sehemu mbali mbali either majumbani ama vijiweni nk.

Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa sana wa Pinda ku connect na wananchi licha ya kwamba sisi tunaona kachemsha kisheria ama ki ethic....Kwani si wananchi hao hao wanao wauwa vibaka wezi wa kuku? Muullize mwananchi huyo machungu atakayokuwa nayo kwani kuku huyo pengine alikuwa ni wa sherehe ether krismasi ama idi ama graduation ya mtoto ama mjukuu kumaliza darasa la saba ama form four nk. Ni kwamba kuku huyo kwa wengine ni big deal kiasi cha kutoa maisha ya mtu mwingine? Tujiulize...Nani anaye connect na wananchi hapa? Vipi kuhusu wanao commite murder? Sina hata haja ya kusema albino kwa sababu albino or no si bado ni wanadamu?

Hii ni 09,Kwanza alianza kwa kuwafungia leseni waganga wa kienyeji, Kwa upande mwingine hapo wananchi walio wengi ambao ni wapiga kura lazima wanasupport,issue ishakuwa kubwa kwa serikali na hata kulia kwa Mh Pinda ni tabia ya hao wazungu kama wengine wanavyosema...Then tujiulize unafikiri wazungu hao nao hawafuatilii? Hao mnaowaita wafadhili ambao Mh Rais kasema ni lazima asafiri kuwaomba misaada,unadhani hataulizwa? Si atasema mnaona hata waziri mkuu kalia na waganga wamefungiwa? Jiwe moja ndege wawili...Wafadhili na wananchi.

Kwa ujumla ni issue ambayo wapinzani inabidi wawatch their steps kwani serikali ya ccm ni maaruu sana kwa kuplay na emotions za wananchi wa Tanzania.
 
Hujui kwa uhakika ni nini kilichomfanya Pinda kuonyesha hisia.
 
kwamba katika utafiti wa Watanzania wote ni yeye wa kwanza kulia hadharani kati ya wanaume.

Mfumo dume!!

Wewe nitajie basi, mwanamke au mwanamme, toka the founding of the nation, mtu aliyekumbwa na public repudiation akaenda kulia kwenye stage.
Watanzania wangapi wamekumbwa na firestom na wakapata public podium? ili tulinganishe.

Ulimbukeni!

Ulinganishe na nani? Sio lazima utupime na wengine. Sisi Watanzania, bila kuangalia through the prism ya tamaduni nyinginge, sisi wenyewe hatulilii hadharani tukikumbwa na kashfa!!

I don't think so. Hakuna precedent ya kulia...

Pinda kafungua dimba la kitabia cha kutumia pulpit kujilizaliza amidst a public debacle. Kama kuna mwingine nitajie basi!!!

Kulia hakuoneshi character ya mtu au emotional steadiness...Inaonekana hujasumbuliwa na kile anachodaiwa kusema unasumbuliwa na yeye kulia.

"Character"? Nani kasema Pinda ana luck character? Nimesema Pinda is erratic.

Sisumbuliwi na kile alichosema? Sasa kwa nini ningesema Pinda hana judgment to hold the office of Prime Minister?
 
Back
Top Bottom